HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Friday, 22 December 2017

MSANII KTOKA TANZANIA AFANYA COLLABO NA MSHINDI WA TUZO YA AFRIMMA KUTOKA KENYA




Hii ndio ngoma mpya toka kwa Azma Mponda toka Tanzania, akimshirikisha Gilad Millo mwanamuziki kutoka Kenya ambaye hivi karibuni alishinda tuzo mbili za AFRIMMA.

Shubiliga ni wimbo wa mapenzi, ukimaanisha vumilia, Audio imetengenezwa na Kita the pro/ Alfizoh ambao awali walitengeneza wa wimbo wa Azma feat Belle 9 Astara Vaste.. na video imefanywa na director Mhando brian toka kenya.

Song : Shubiliga
Artist : Azma feat Gilad
Unaweza kuitazama kupitia You tube link: https://youtu.be/I8WzFN9O5nI

No comments:

Post a Comment