Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.
BREAKING NEWSS..!! MSANII SIDE BOY AFARIKI DUNIA MKOANI LINDI.
R.I.P SIDE BOY
MNYAMWEZI
Msanii wa Bongo Fleva
aliyewahi kutamba na nyimbo kama 'Kua uone', 'Usimdharau usiyemjua', Said Salim
'Side Boy Mnyamwezi' amefariki dunia leo katika Hospitali ya Nyangao iliyopo
Mkoani Lindi.
No comments:
Post a Comment