LEO KATIKA HISTORIA MATUKIO
1976
|
Tetemeko
kubwa la Ardhi lenye ukubwa wa 8.2 liliyakumba maeneo ya Tangshan China na
watu wanaokadiriwa kufikia 240,000 walipoteza maisha.
|
1955
|
Ndege
ya Abiria ya Israeli ilituunguliwa na wanajeshi wa Bulgaria, na watu 58 waliokuwa
kwenye ndege hiyo walipoteza maisha.
|
WALIOZALIWA
BLANDINA CHANGULA.a.k.a JOHARI
Johari
Katika Filamu ya Mkasa
|
|
Jina
la Kiraia
|
Blandina
Changula
|
Jina
la kisanii
|
Johari
|
Nchi
|
Tanzania
|
Alizaliwa
|
27 Julai 1983
|
Kazi
yake
|
Muigizaji
|
Miaka
ya kazi
|
mn. 2002 hadi 2007
|
Ameshirikiana
na
|
Steven
Kanumba, Vincent Kigosi,Mwanaidi Suka nk.
|
Kampuni
|
Game
First Quality
|
Blandina
Changula (amezaliwa tar. 27
Julai 1983 mkoani Shinyanga, Tanzania ni muigizaji wa vipindi vya telesheni na filamu
nchini Tanzania.
Blandina
alipata elimu ya msingi katika shule ya Bugoyi mwaka 1990 hadi 1997 na kujiunga
katika shule ya sekondari ya kutwa ya Buluba iliyopo Shinyanga mwaka 1998 hadi 1999.
Akiwa
kidato cha pili alihamishiwa katika shule ya bweni ya Kanawa hukohuko mkoani Shinyanga
mwaka 1999 hadi 2000 na mwaka huo huo baada ya kuingia kidato cha tatu
akahamishiwa tena jijini Dar es Salaam katika shule ya Greens iliyokuwa maeneo
ya Temeke kabla ya kuhamishiwa Ubungo shule ambayo alimalizia kidato cha nne
hiyo ilikuwa mnamo mwaka 2001.
Blandina
Changula anatokea kundi la Kaole Sanaa Group, ni kundi ambalo linafahamika sana
nchini Tanzania kwa kutoa nyota wengi wa uigizaji, Blandina nae ni mmoja kati
ya nyota hao, wengine ni Steven Kanumba, Vincent Kigosi (Mr Ray), Tea na wengine wengi tu kutoka Kaole Sanaa Group.
Kwa
hivi sasa Blandina Chagula kwa kushirikiana na msanii mwenzake Vincent Kigosi
wana kampuni yao pamoja iitwayo RJ Company (Ray
& Johari coumpany ) ambayo inafanya kazi ya kuzalisha filamu
mbalimbali kama vile Bed Rest, Bad Luck , Wrong hope , Peace of mind , Fair
Decision nk.
Neema
Decoras
|
|
Maelezo
ya awali
|
|
Jina
la kuzaliwa
|
Neema
Benard Decoras
|
Amezaliwa
|
27
Julai 1984
Mbeya, Tanzania |
Asili
yake
|
Mbeya,
Tanzania
|
Aina
ya muziki
|
Gospel
|
Kazi
yake
|
Mwimbaji,
Mtunzi wa nyimbo
|
Miaka
ya kazi
|
2012-hadi
leo
|
Studio
|
Twins
Records (2012)
Amba Records (2013–Hadi leo) |
Neema
Decoras (Amezaliwa
Tarehe 27 Julai 1984) ni
mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Injili za Kikristo mwenye kipawa na hodari
kutoka nchini Tanzania ambaye amejitoa kuwa chombo imara cha Uinjilisti na
kutumikia kusudi la Mungu katika wakati wake. Alizaliwa katika jiji la Mbeya, Tanzania
na ni watatu kuzaliwa katika familia ya watoto saba.
Haja
ya kuwa muimbaji wa kujitegemea ilianza kutimia mwishoni mwa mwaka wa 2012
Neema Decoras alipofanikiwa kurekodi wimbo wake uitwao “Mungu ni Mwema” katika
studio iitwayo Twins Records iliyopo Riverside, Ubungo jijini Dar es Salaam
chini ya mtayarishaji wa muziki aitwaye Gabriel Maulana.
Mnamo
January mwaka wa 2013 mume wake alimpeleka kwa mtayarishaji wa muziki aitwaye
Ambangile Mbwanji anayejulikana sana kama Amba ambaye ni mmiliki wa studio
iitwayo Amba Records iliyoko Ukonga, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Katika
studio hiyo alifanikiwa kurekodi na kutoa albamu yake ya kwanza mwezi Julai
mwaka wa 2013. Albamu hiyo iitwayo “Milele Nitalisifu Jina Lako” ina nyimbo
nane ambazo zote ameziimba kwa lugha ya Kiswahili.
Nyimbo zilizomo katika albamu hiyo ni; Milele Nitalisifu Jina Lako, Mikononi
mwa Mungu, Unapojaribiwa, Nione Leo, Mungu ni Mwema, Rejea kwa Yesu, Ninaimba
Sifa na Hakika Nimejua.
Kwa
sasa Neema Decoras anaishi jijini Dar es Salaam ambapo amefanya maonyesho yake
mengi sana japo yuko tayari kutumika katika Ibada, Matamasha na Mikutano ya
Injili, Semina, Sherehe, na matukio mbalimbali ambayo yanahubiri Neno la Mungu
popote pale ndani na nje ya Tanzania.
DONIE YEN
Born
|
27
July 1963 Guangzhou, Guangdong, China
|
|
Occupation
|
Actor,
martial artist, film director and producer, action choreographer
|
|
Years active
|
1983–present
|
|
Spouse(s)
|
Zing-Ci
Leung (1993–1995)Cecilia Cissy Wang (2003–present)
|
|
Children
|
3
|
|
Style
|
Boxing, Brazilian Jiu-Jitsu, Judo, Kickboxing, Muay Thai, Taekwondo,
Hapkido, Jeet Kune Do, Wing Chun, Wrestling, Wushu, Tai Chi, Karate, Hung Ga
|
|
Rank
|
6th
Degree Black Belt in Taekwondo
Black Belt in Judo Purple Belt in Brazilian Jiu-Jitsu Gold Medals in Wushu Competitions |
|
TUZO MBALI MBALI ALIZOSHIRIKI NA KUPATA
2009
|
Ip Man
|
Hong
Kong Film Award
|
Best Actor
|
Nominated
|
2009
|
Ip Man
|
Huabiao
Film Award
|
Outstanding Abroad Actor
|
Won
|
2010
|
Bodyguards and Assassins
|
Hundred
Flowers Awards
|
Best Actor
|
Nominated
|
2011
|
Legend of the Fist: The Return of Chen Zhen
|
Hong
Kong Film Award
|
Best Action Choreography
|
Nominated
|
2011
|
The Lost Bladesman
|
The
3rd Macau International Movie Festival
|
Best Actor
|
Won
|
2011
|
Dragon
|
Golden
Horse Awards
|
Best Action Choreography
|
Won
|
2012
|
Dragon
|
Hong
Kong Film Award
|
Best Action Choreography
|
Nominated
|
2014
|
Special ID
|
Hong
Kong Film Award
|
Best Action Choreography
|
Nominated
|
2014
|
8th Asian Film Awards
|
8th
Asian Film Awards
|
Asian Outstanding Actor
|
Won
|
2015
|
Youku Night Awards
|
Youku
Night Awards
|
2014's Most Influential Actor
|
Won
|
2015
|
The Monkey King
|
15th
Huading Awards
|
Best Actor
|
Won
|
2015
|
Kung Fu Jungle
|
Hong
Kong Film Award
|
Best Action Choreography
|
Won
|
WALIOFARIKI
Chacha Zakayo Wangwe
Chacha
Zakayo Wangwe
(amezaliwa tar. 15 Julai 1956 - 27 Julai 2008)
alikuwa mbunge machachari wa wa jimbo la Tarime katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.
Anatokea katika chama cha CHADEMA. Alifariki kwa jail ya gari Julai 27 2008
majira ya saa mbili usiku eneo la kongwa, mkoani dodoma.
Kwa mujibu wa habari
hizo
marehemu Wangwe, ambaye alikuwa ametokea bungeni dodoma ambako alihudhuria
kikao cha asubuhi, alikuwa njiani kuelekea dar kwenye mazishi ya hayati mzee Bhoke
Munanka ambaye amefariki dunia.
Emil Theodor Kocher
Emil
Theodor Kocher
(25 Agosti
1841 – 27 Julai 1917) alikuwa daktari
mpasuaji kutoka nchi ya Uswisi. Alifanya na kuboresha pasuaji nyingi, hasa ya tezi
dundumio. Mwaka wa 1909 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Alifariki 1917
No comments:
Post a Comment