HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Friday, 27 April 2018

YANGA KWENDA ALGERIA MAY 03,2018 KUWAKABILI USM ALGER KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA.




Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kwenda nchini Algeria May 03 tayari kwa mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya USM Alger utakaopigwa Jumapili May 06 huko nchini Algeria.
 Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amewakaribisha mashabiki wanaotaka kusafiri na timu kwenda kuiunga mkono nchini Algeria wajiandikishe Makao Makuu ya klabu mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam.
Baada ya Mchezo Yanga wanatarajia kurejea nchini May 7 na kujiandaa na Mchezo wa pili dhidi ya Rayon Sport ya Rwanda utakaochezwa uwanja wa Taifa May 16.

No comments:

Post a Comment