Zaidi ya
Watendaji ishirini za serikali za mitaa kutoka ndani ya kata za Jiji la Tanga
jana wamepatiwa mafunzo juu matumizi ya vyoo pamoja na kutuza madhingira
ilikuepukana na magonjwa ya mlipuko katika ukumbi Wa mikutano Wa mipango miji.
Kizungumza
Mratibu wa kampeni ya National Sanitation Campaign (NSC) katika Jiji la Tanga
Sylivester Magobo (pichani)amesema kampeni hii inaangalia matumizi ya vyoo bora kwa
Wananchi kwani wamekuwa wakwanza kuchafua madhingira kwa kuhalibu vyazo vya
maji pamoja na kukalibisha magonjwa ya milipuko hata hivyo kampeni
inalenga kutoa elimu kwa Wananchi faida na hasara ya kuwa na vyoo.
Amesema
watakuwa wakizungumza na wenye nyumba ili kuwaelimisha juu ya umuhimu wa kuwa
na vyoo kwani ni lazima kila nyumba kuwa na choo na wale watakao kaidi
watachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kupigwa faini na hata kufungwa jela kwa
mujibu wa sheria.
Wakizungumza
kwa nyakati tofauti Watendaji Wa serikali za mitaa Waliohudhuria mafunzo
hayo Wamesema kupita mafunzo watakuwa mabalozi wazuri katika kuwapa elimu
juu ya vyoo bora pamoja kutunza madhingira kwakuepukana na magonjwa ya milipuko
ambayo yamekuwa nitatizo kwa Wananchi .
Aidha Mratibu Wa Kampeni hiyo Magobo
ametoa wito kwa Wananchi ambao hawana vyoo nimalufuku kujisaidia mahali ambapo
hakuna choo kwa sio ombi ni ladhima kila kaya kuwa na choo kutokana na
vifungu vya sheria vinavyo taka kila kaya kuwa na choo bora ili kuzuiya
uhalibufu Wa madhingira ikiwemo kuchafua vyazo vya Maji hivyo kusababisha
ugonjwa Wa kipindupindu.
No comments:
Post a Comment