Meneja wa kampuni ya Mkwabi Supermarket ya
Tanga, Issa Kassanga, akimkabidhi vifaa vya michezo mbalimbali zikiwemo jezi,
mipira na gloves za magolkipa , Afisa Maendeleo ya Jamii, Pitter
Semfuko(kushoto) na katikati ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira wa miguu Wilaya
ya Tanga, Sued Mkwabi ikiwa ni maandalizi ya ligi ngazi ya Wilaya
inayoshirikisha timu 38.
|
No comments:
Post a Comment