HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Wednesday, 13 April 2016

ATHARI ZA MVUA ZAANZA KUONEKANA TANGA.


Wakazi wa Makorora Commicenter Tanga, wakipita katika barabara iliyojaa maji kufuatia mvua kubwa ilinyosha jana zaidi ya masaa 8 na kusababisha baadhi ya huduma ya usafiri kusimama  pamoja na maduka muhimu ya chakula na dawa kufungwa ktokana na wengi kubakia majumbani.

Mkazi wa Makorora kwa Makondoo Tanga  akitoka moja kati ya nyumba zilizozingirwa na maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa zaidi ya masaa 8 leo.

Shule ya msingi ya Kombezi Tanga ikiwa imezingirwa na maji na vyumba vya madarasa kujaa maji kufuatia mvua mkubwa iliyonyesha jana kwa zaidi ya masaa 8 na wanafunzi kulazimika kurejea nyumbani kabla ya muda wa kutoka kufika.


PICHA NA :TANGA KUMEKUCHA BLOG.......

No comments:

Post a Comment