Matt Le Tissier anaamini staili ya uchezaji ya sasa ya
Manchester United chini ya Meneja Louis van Gaal ndio imemuathiri Wayne Rooney
na kumfanya aporomoke Kisoka.
Le Tissier, ambae ni Lejendari wa
Southampton, amekiri Van Gaal anaipa Man United matokeo mazuri na sasa wako
Pointi 1 tu toka Man City ambao ndio wanaongoza Ligi Kuu England lakini staili
ya uchezaji ‘imemhujumu’ Wayne Rooney.
Rooney, ambae ndie Mfungaji Bora
katika Historia ya England, Msimu huu amefunga Bao 2 na hajasaidia kufunga Bao
lolote katika Ligi Kuu England wakati Misimu yake 11 akiwa na Man United
alimudu kila Msimu kufunga zaidi ya Mabao 10.
Le Tissier aliiambia Sky
Sports: "Rooney pengine ameathirika na uchezaji wa Man United wa
mabadiliko ya falsafa ya kutoka ‘Tutashinda Mechi zote kwani tuna Wachezaji
Bora’ hadi ya sasa ‘Hatutafungwa mwanzo!’
Gwiji huyo pia ametoboa kuwa Man
United sasa hawashambulii kwa kutumia Wachezaji wengi kama zamani ambapo
waliamini watashinda kila Mechi na hilo pia halimpi msaada Rooney kucheza
vyema.
+++++++++++++++++++++++++++++++++
ROONEY-Magoli na Msaada wa Magoli:
|
+++++++++++++++++++++++++++++++++
Msimu huu, Man United wanapondwa
sana kwa kucheza kwa kujihami bila kustarehesha Mashabiki kama ilivyokuwa zama
za Sir Alex Ferguson.
Lakini Matt Le Tissier amemsapoti
Van Gaal kwa kudai Matokeo ni kitu cha muhimu na Soka ya Starehe baadae.
Le Tissier amesema: “Hiyo ndio kazi
ya Meneja, kupata matokeo. Man United wamezoea kushinda kwa kishindo na staili
ya juu lakini mwisho wa Siku wakimaliza ndani ya 4 Bora na hata kutwaa Ubingwa
hakuna atakaekumbuka kwamba walikuwa doro. Msimu huu kwao muhimu ni kumaliza
tena kwenye 4 Bora tena hasa ukitazama wapi walipo tangu Sir Alex Ferguson
aondoke!”
LIGI KUU ENGLAND
Ratiba
**Saa za Bongo
Jumamosi Desemba 5
1545 Stoke v Man
City
1800 Arsenal v
Sunderland
1800 Man United v West
Ham
1800 Southampton v Aston
Villa
1800 Swansea v
Leicester
1800 Watford v
Norwich
1800 West Brom v
Tottenham
2030 Chelsea v
Bournemouth
Jumapili Desemba 6
1900 Newcastle v Liverpool
Jumatatu Desemba 7
2300 Everton v Crystal Palace
MSIMAMO WA LIGI
#
|
Team
|
MP
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
D
|
P
|
1
|
14
|
9
|
2
|
3
|
30
|
14
|
+16
|
29
|
|
2
|
14
|
8
|
5
|
1
|
29
|
21
|
+8
|
29
|
|
3
|
14
|
8
|
4
|
2
|
20
|
10
|
+10
|
28
|
|
4
|
14
|
8
|
3
|
3
|
24
|
12
|
+12
|
27
|
|
5
|
14
|
6
|
7
|
1
|
24
|
11
|
+13
|
25
|
|
6
|
14
|
6
|
5
|
3
|
18
|
15
|
+3
|
23
|
|
7
|
14
|
7
|
1
|
6
|
19
|
14
|
+5
|
22
|
|
8
|
14
|
6
|
4
|
4
|
25
|
21
|
+4
|
22
|
|
9
|
14
|
5
|
6
|
3
|
27
|
19
|
+8
|
21
|
|
10
|
14
|
5
|
5
|
4
|
20
|
17
|
+3
|
20
|
|
11
|
14
|
5
|
4
|
5
|
15
|
16
|
-1
|
19
|
|
12
|
14
|
5
|
4
|
5
|
11
|
14
|
-3
|
19
|
|
13
|
14
|
5
|
3
|
6
|
13
|
18
|
-5
|
18
|
|
14
|
14
|
4
|
3
|
7
|
17
|
23
|
-6
|
15
|
|
15
|
14
|
3
|
5
|
6
|
14
|
19
|
-5
|
14
|
|
16
|
14
|
3
|
4
|
7
|
17
|
25
|
-8
|
13
|
|
17
|
14
|
3
|
3
|
8
|
16
|
26
|
-10
|
12
|
|
18
|
14
|
2
|
4
|
8
|
17
|
30
|
-13
|
10
|
|
19
|
14
|
2
|
4
|
8
|
14
|
30
|
-16
|
10
|
|
20
|
14
|
1
|
2
|
11
|
12
|
27
|
-15
|
5
|

No comments:
Post a Comment