 |
|
Kiungo wa
kimataifa wa Rwanda
na Klabu ya
Yanga
Haruna
Niyonzima a.k.a Fabregas
|
Kiungo wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima jana ameongoza mauwaji
kwa Mbeya ciity katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam baada ya kuhusika
katika magoli mawili kati ya magoli 3 waliy0pata Yanga.
Yanga hii leo
waliwakaribisha Mbeya city katika uwanja wa Taifa na kufanikiwa kuibuka na
ushindi wa goli 3-1, matokeo yanayo wafanya wakaribie kujihakikishia ubingwa wa
Tanzania bara.Katika kipindi cha kwanza yanga walikitawala na kutengeneza
nafasi kadhaa ambapo walifanikiwa kuzitumia nafasi mbili kujipatia magoli huku
Mbeya city ikitengeneza nafasi tatu na kutumia moja.
Yanga waliandika goli lao la kwanza katika dakika ya 18 kupitia kwa Kpah
Sherman ambapo ni goli lake la pili katika ligi kuu ya vodacom.
Kuingia kwa goli hilo lilipelekea Mbeya city nao kujaribu kupeleka mashambulizi
ambapo walifanikiwa kutengeneza nafasi mbili za kujipatia goli la kusawazisha
lakini waliishia kuzipoteza.
Katika dakika ya 38 Yanga waliandika goli la pili kupitia kwa Salum Telela
aliyeunga mpira wa adhabu uliopigwa na Haruna Niyonzima na kuifanya yanga
kwenda mapmziko wakiwa na goli 2.

Mbeya city walipata goli lao katika dakika ya 40 kupitia kwa Themi Felix
'Mnyama na kupelekea yanga kuongeza kasi katika kulishambulia lango la Mbeya
city bila mafanikio na kupelekea mchezo kwenda mapumziko mbeya city wakiwa na
goli 1, yanga wakiwa na mawili.
Yanga walirejea kipindi cha pili kama walivyomaliza kipindi cha kwanza na
katika dakika ya 51 mpira wa faulo uliopigwa na Haruna Niyonzima uliungwa vyema
na nahodha Nadir Haroub Cannavaro na kuipatia goli la 3 yanga sc.
Katika dakika ya 56 mshambuliaji wa Mbeya city Themi Felixs alizawadiwa kadi
nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumkwatua Salim Telela, na kupelekea Mbeya
ity kumaliza wakiwa pungufu.
Baada ya kadi hiyo nyekundu Telela alitolewa nnje na nafsi yake kuchukuliwa na
Said Dilunga huku Mbeya city wakifanya mabadiliko ya wachezaji wa wili
waliopelekea kupunguza kasi ya yanga.
Mpaka mwamuzi wa mchezo huo Akrama akipuliza kipenga cha mwisho, Yanga walikuwa
mbele kwa goli 3 dhidi ya goli 1 a Mbeya city.
Kwa matokeo hayo yanga wanazidisha wigo wa tofauti ya poinyi baina yake na Azam
Fc kutoka katika pointi 5 mpaka kufikia pointi 8.
Katika mchezo
mwingine wa jana uliopigwa kwenye uwanja wa CCM Kambarage huko Shinyanga
wenyeji Stand walishinda 1-0 dhidi ya Polisi Morogoro.
Katika mchezo huo goli la Stand united lilipatikana
kupitia kwa Chidiebele Salim katika dakika ya 56 na kuipatia timu yake ushindi
wa goli 1-0 na kuifanya ifikishe point 27.
MSIMAMO
|
Rn
|
Timu
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
Gd
|
Pts
|
|
1
|
Yanga
|
21
|
14
|
4
|
3
|
39
|
12
|
27
|
46
|
|
2
|
Azam FC
|
20
|
10
|
8
|
2
|
27
|
14
|
13
|
38
|
|
3
|
Simba Sc
|
21
|
9
|
8
|
4
|
27
|
15
|
12
|
35
|
|
4
|
Kagera Sugar
|
21
|
7
|
7
|
7
|
19
|
20
|
-1
|
28
|
|
5
|
Mgambo Shooting
|
20
|
8
|
3
|
9
|
17
|
19
|
-2
|
27
|
|
6
|
Stand United
|
21
|
7
|
6
|
8
|
18
|
23
|
-5
|
27
|
|
7
|
Coastal Union
|
23
|
6
|
9
|
8
|
16
|
23
|
-7
|
27
|
|
8
|
Ruvu Shooting
|
21
|
6
|
8
|
7
|
14
|
18
|
-4
|
26
|
|
9
|
Mbeya City
|
22
|
5
|
10
|
7
|
17
|
21
|
-4
|
25
|
|
10
|
Ndanda Fc
|
22
|
6
|
7
|
9
|
18
|
24
|
-6
|
25
|
|
11
|
Mtibwa Sugar
|
21
|
5
|
9
|
7
|
20
|
22
|
-2
|
24
|
|
12
|
Jkt Ruvu
|
22
|
6
|
6
|
10
|
16
|
22
|
-6
|
24
|
|
13
|
T. Prisons
|
21
|
3
|
12
|
6
|
14
|
20
|
-6
|
21
|
|
14
|
Polisi Moro
|
22
|
4
|
9
|
9
|
13
|
22
|
-9
|
21
|
WAFUNGAJI
Wanaoongoza ufungaji ligi kuu Tanzania bara 2014/2015.
Simon Msuva (Yanga) 13
Rashid Habibu Mandawa (Kagera) 10
Didier Kavumbagu (Azam) 10
Jocelyn Amiss Tambwe (Yanga) 9
Abasirim Chidiebere(Stand) 8
Amour Ally (Mtibwa) 7
Emanuel Okwi (simba ) 7
MICHEZO INAYOKUJA
2015-04-13
|
16:00
|
KAGERA SUGAR
|
Vs
|
RUVU SHOOTING
|
2015-04-15
|
16:00
|
MGAMBO JKT
|
Vs
|
AZAM FC
|
2015-04-18
|
16:00
|
Polisi Moro
|
Vs
|
Ndanda Fc
|
|
16:00
|
Stand United
|
Vs
|
Jkt Ruvu
|
|
16:00
|
Ruvu Shooting
|
Vs
|
Mgambo Jkt
|
|
16:00
|
Mbeya City
|
Vs
|
Simba Sc
|
|
16:00
|
Yanga
|
Vs
|
Etoile Du Sahel(CAF Shirikisho)
|
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment