Abiria zaidi ya 50 wamenusurika leo bada ya basi walilokuwa wakisafiria
liitwalo Burudani kugongana uso kwa uso na Lori la tenki la mafuta maeneo ya
Soni mkoani Tanga.
Mashuhuda wamesema
hii ajali imetokea baada ya Lori la mafuta kukatika breki na kuvaana na basi
hilo uso kwa uso.

No comments:
Post a Comment