HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Saturday, 11 April 2015

HAYA NDIYO MAAJABU YA OZIL NA ENZO FERRARI "wengi wajiuliza kulikoni.....???????


Enzo Ferrari ni Muitaliano aliyeanzisha kampuni ya Magari maarufu kwa mwendo kasi na thamani Duniani “FERRARI” alifariki Dunia mwaka ambao Mchezaji mashuhuri wa Arsenal na timu ya Taifa ya Ujerumani Mesut Ozil alizaliwa ,mwaka(1988).

Lakini cha ajabu kuhusu watu hawa ni kuwa wamefanana sana na Izil amezaliwa mwaka  ambao Enzo alifariki Dunia.

Nimekuwekea Picha na wasifu wao nadhani utakubaliana name kuwa Duniani wawili wawili.
‘Wapo watu wa karibu wa Marehemu Enzoambao wanajiuliza kuwa Je..! Enzo amerejea katika namna nyingine..?? yaani Ozil..!




Enzo Ferrari in the 1920s
 Born
Enzo Anselmo Ferrari
18 February 1898
Modena, Italy
Died
14 August 1988 (aged 90)
Maranello, Italy
Nationality
Occupation
Founder of Ferrari
Years active
1918–1988
Height
6 ft 1 12 in (187 cm)[1]
Children



Özil playing for Arsenal in 2013
Personal information
Full name
Mesut Özil[1]
Date of birth
15 October 1988 (age 26)
Place of birth
Gelsenkirchen, West Germany
Height
1.80 m (5 ft 11 in)[2]
Playing position
Club information
Current team
Number
11
Youth career
1995–1998
Westfalia 04 Gelsenkirchen
1998–1999
Teutonia Schalke-Nord
1999–2000
Falke Gelsenkirchen
2000–2005
2005–2006
Senior career*
Years
Team
Apps
(Gls)
2006–2008
30
(0)
2008–2010
71
(13)
2010–2013
105
(19)
2013–
41
(9)
National team
2006–2007
11
(4)
2007–2009
16
(5)
2009–
64
(18

No comments:

Post a Comment