| R.I.P Edward Cathbert Mkello enzi za Uhai wake |
| Waandishi wa Habari na Watangazaji wa Redio Huruma Fm wakiwa kwenye Msiba huo. |
| Kaka wa Marehemu Edward "Victor Mkello ambaye ni mwandishi na mtangazaji wa Redio Huruma fm akiweka shada la maua kwenye kaburi la mdogo wake baada ya Mazishi. |
| Baadhi ya Wanasalamu waliofika kwenye msiba huo (Mlingano Wilayani Muheza) |
No comments:
Post a Comment