Mtandao wa France Football Rich List umetoa ripoti kuhusu makocha na wachezaji matajiri
Duniani. Kocha Jose Mourinho wa Chelsea
ndiye kocha anaingiza fedha nyingi zaidi duniani. Mourinho ameweza kuingiza
hadi kitita cha pauni milioni 13.2 kwa mwaka huku akifuatiwa na Carlo Ancelotti
wa Real Madrid aliyeingiza pauni milioni 11.
10 BORA YA MAKOCHA WENYE UTAJIRI
MKUBWA
1. Jose Mourinho £13.2m
1. Jose Mourinho £13.2m
2. Carlo Ancelotti
£11.4m
3. Pep Guardiola
£11.2m
4. Arsene Wenger
£8.3m
5. Louis van Gaal
£7.3m
6. Fabio Capello
£6.6m
7. Andre Villas-Boas
£6.2m
8. Sven-Goran
Eriksson £5.9m
9. Jurgen Klopp £5.3m
10. David Moyes na
Laurent Blanc £5.1m
Lionel Messi ndiye mwanasoka
tajiri zaidi duniani baada ya kuingiza karibu pauni milioni moja kwa wiki
katika fedha zake za ujira pamoja na alizokuwa akilipwa na wadhamini
mbalimbali. Kutokana na fedha hizo, raia huyo wa Argentina anayekipiga
Barcelona alitundika benki hadi kitita cha pauni milioni 47.8. Katika fedha hizo pauni milioni 26
zilitokana na mshahara tu anaolipwa na Barcelona.Mpinzani au mshindani wa
mkubwa Cristiano Ronaldo pauni milioni 39.7.
TOP 10 YA WANASOKA WENYE
MKWANJA ZAIDI.
1. Lionel Messi
£47.8m
2. Cristiano Ronaldo
£39.7m
3. Neymar £26.8m
4. Thiago Silva
£20.2m
5. Robin van Persie
£18.8m
6. Gareth Bale £17.5m
7. Wayne Rooney
£16.5m
8. Zlatan Ibrahimovic
£15.8m
9. Sergio Aguero
£15.6m
10. Robert
Lewandowski £14.8m

No comments:
Post a Comment