HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Wednesday, 18 March 2015

“HII KALI” HUYU NI KOCHA ALIYETUMIA PESA ZAKE KUSAJILI NA KUNUNUA VIFAA VYA TIMU YA LIGI KUU RWANDA.


Raoul Shungu

SHIRIKISHO la Soka Duniani-FIFA limeiamuru Shirikisho la Soka la Rwanda-Ferwafa kuikata alama tatu katika ligi klabu ya Rayon Sports ikiwa ni moja ya adhabu waliyopewa kwa kushindwa kumlipa kocha wao wa zamani Raoul Shungu.
 
Mapema mwezi huu, FIFA ilituma barua kuielekeza klabu hiyo kumlipa kocha huyo haraka kabla ya kuchukuliwa hatua kali.
Shungu alikuwa akiidai Rayon kiasi cha dola 18,828 ikiwa ni sehemu ya malipo yake wakati akiinoa klabu hiyo mwaka 2008

Wakati huo inaripotiwa kuwa maofisa wa klabu hiyo walikubali kocha huyo kutumia fedha zake mwenyewe kwa ajili ya kuwasajili wachezaji kama Honore Kabongo, Bokota Labama, Jean Lomami na Jimmy Kidega. Shungu pia amesema alitumia fedha zake mwenyewe kununua baadhi ya vifaa kama mipira, neti na vifaa vingine vya mazoezi lakini hajarudishiwa fedha hizo toka wakati huo.

No comments:

Post a Comment