HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Monday, 9 February 2015

TFF YAFANYA MAREKEBISHO YA RATIBA LIGI KUU TANZANIA BARA..!!




TFF Leo imetoa Ratiba yenye marekebisho kidogo ili kuzipisha Klabu za Azam FC na Yanga kushiriki vizuri michuano ya Klabu ya CAF Barani Afrika.
Azam inacheza Ligi ya Mabingwa, CAF CHAMPIONZ LIGI, na itaanzia Nyumbani Februari 15 kwa kuikaribisha El Merreikh ya Sudan kwenye Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam wakati Yanga itacheza michuano ya CAF ya Kombe la Shirikisho na imepangiwa kucheza mechi ya kwanza Nyumbani dhidi ya BDF IX ya Botswana na Mechi hiyo itafanyika Februari 14 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Yanga itarejea kwenye VPL hapo Februari 21 kwa kucheza huko Sokoine, Mbeya dhidi ya Mbeya City na Azam FC watacheza kwao Azam Complex Jijini Dar es Salaam Jumatano hii na Mtibwa Sugar na kisha kutocheza hadi Februari 22 dhidi ya Tanzania Prison pia hapo hapo Azam Complex.
Wikiendi hii ya Februari 14 na 15 zipo Mechi 5 za VPL.
Baada ya Mechi 13, Yanga ndio wanaongoza Ligi wakiwa na Pointi 25 wakifuatiwa na Azam FC wenye Pointi 22 kwa Mechi 12.

LIGI KUU VODACOM
RATIBA:
Jumatano Februari 11
Azam FC v Mtibwa Sugar
Jumamosi Februari 14
Ndanda FC v Mtibwa Sugar                  
Coastal Union v Mbeya City                  
Stand United v Mgambo JKT                 
Jumapili Februari 15
Polisi Morogoro v Simba
Kagera Sugar v JKT Ruvu
Jumamosi Februari 21
Mbeya City v Yanga
Kagera Sugar v JKT Ruvu
Ndanda v Coastal Union
Mgambo Shooting v Mtibwa Sugar
Jumapili Februari 22
Stand United v Simba
Azam FC v Tanzania Prisons
Jumatano Februari 25
Mbeya City v Ruvu Shooting 
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A

GD
PTS
1
Yanga
13
7
4
2
15
7

8
25
2
Azam FC
12
6
4
2
17
10

7
22
3
Polisi Moro
14
4
7
3
12
11

1
19
4
JKT Ruvu
14
5
4
5
14
14

0
19
5
Ruvu Shooting
14
5
4
5
10
11

-1
19
6
Mtibwa Sugar
12
4
6
2
13
9

4
18
7
Coastal Union
14
4
6
4
10
9

1
18
8
Kagera Sugar
14
4
6
4
11
11

0
18
9
Simba
13
3
8
2
13
11

2
17
10
Mbeya City
13
4
4
5
9
11

-2
16
11
Ndanda FC
14
4
3
7
13
18

-5
15
12
Mgambo JKT
12
4
2
6
6
11

-5
14
13
Stand United
14
2
6
6
9
17

-8
12
14
Prisons
13
1
8
4
10
12

-2
11

No comments:

Post a Comment