Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya
baada ya kugongana na Basi la Meridian
|
Wasamaria
wema wakinasua dereva wa gari ndogo
|
Gari
ndogo ikiwa imeharibika Vibaya
|
Dereva wa Gari
ndogo akiwa haamini kama amepona
Ajali hii
imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo binafsi.Dereva wa
gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake kuharibika vibaya.
|
No comments:
Post a Comment