Msanii anaekwenda kwa jina la CHRIS BEE kutoka
jijini Mbeya ametambulisha rasmi track mpya kali maalum kwako wewe mdau wa
muziki wa Bongo Flav. Kama utazihitaji kwa Matumizi ya Club na Radio wasiliana
na M.D wa Mtandao huu wa UTANDAWAZI BLOG kupitia “0784 80 87 57”
Akizungumza na mtandao huu CHRIS ana haya ya kukuambia “hizi ni track zangu mbili mpya ambazo nimeamua kuziachia kwa pamoja leo hii, moja inaitwa URUDI niliyomshirikisha NEYLEE na nyingine inaitwa WALAWALA REMIX niliyowashirikisha SILVIA, SAM FLAVOUR na FRAGA zimefanyika katika studio za Uprise Music.chini ya producer FRAGA. ni ngoma nzuri naomba tena support yako wewe mdau ili tuweze kusogeza muziki wa nyumbani mahala pengine asante”

Studio ya Uprise Music iliyoko chini ya
Produce Fraga inazidi kukuletea ngoma kali kila kukicha “STAY TUNED”
Msanii CHRIS BEE ni Mtangazaji na DJ kutoka kituo cha
Matangazo cha Redio Bomba FM Mbeya.
"Mtu Wangu wa Ukweli unastahili kuendelea kupata Update Mpya za maana kila wakati nami ni kazi yangu kuhakikisha hilo linafanyika just tembelea UTANDAWAZI BLOG muda wote...!!
No comments:
Post a Comment