Mtu mmoja aliye fahamika kwa jina la Wales Joseph mwenyeumri wa miaka 58 mkulima na
mkazi wa kilonza wilaya ya korogwe Mkoani hapa
amejuruhiwa kwakupigwa na risasi tumboni na silaa aina ya gobole kwa
madai ya imanai za kishirikina.
Akibainisha tukio hilo kama Ndaki amesema tukio hilo limetokea mnamo april9 majira ya saa 2 usiku ambapo mtuhumiwa Lazaro Yusuph mwenye miaka 33 mzigua na
mkuliawa wakijiji cha kilonza alimfyeturia risasi mwenzake akimtuhumu kuwa
nimchawi.
Hata hivyo jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata kijana huyo ambaye
mapaka sasa yuko mikononi mwao na
majerui amelazwa katika hospili ya magunga kwamatibabu zaidi.
No comments:
Post a Comment