HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Monday, 26 January 2015

SAFARI LA LIGI KUU AFRICAN SPORT HAWAKAMATIKI "WAICHAPA MAJIMAJI 1-0 TANGA"




Na Godwin Henry.TANGA
Wana Kimanumanu African Sports ya Tanga imeongeza kasi kuelekea Ligi Kuu Tanzania Bara 2015/16 baada ya kuwashinda wapinzani wao wakubwa katika mbio hizo timu ya Majimaji ya Songea kwa mabao 1-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwa mjini Tanga.

Bao la African Sport limewekwa kimiani na Ramadhan Msheli a.k.a “Mwanzo Mgumu”  akiunganisha kwa kichwa krosi ya nahodha wa timu hiyo James Mendi kunako dakika ya 70 ya mchezo.

Ushindi huo unaifanya African Sports ifikishe pointi 41 ikiwa kileleni baada ya michezo 19 huku ikisalia na michezo mitatu tu mbele yao.Matokeo hayo yamewabakisha Majimaji katika nafasi ya pili wakiwa na Points 36 katika michezo 19 nao pia wakisalia na michezo mitatu.

African Sport inaweza ikawa imejihakikishia kupanda kama itashinda mechi 1 na kutoa sare mechi 1 kati ya 3 zilizosalia za ligi hiyo.
Msimamo wa Kundi A
Pos

Team
Pld
W
T
L
Goals
Diff
Pts
1
African Sports
19
13
2
4
24:14
10
41
2
Majimaji
19
10
6
3
23:13
10
36
3
Friends Rangers
19
9
8
2
22:13
9
35
4
Lipuli
19
9
8
2
16:8
8
35
5
Kimondo
19
8
3
8
19:20
-1
27
6
Ashanti United
19
6
5
8
23:27
-4
23
7
Kurugenzi
18
5
7
6
17:18
-1
22
8
Tessema
18
6
4
8
10:14
-4
22
9
JKT Mlale
18
4
7
7
16:17
-1
19
10
Polisi Dar
18
3
6
9
14:20
-6
15
11
African Lyon
19
3
5
11
14:21
-7
14
12
Villa Squad
19
3
5
11
10:23
-13
14

No comments:

Post a Comment