KATIKA habari za tetesi
za usajili zilizopamba vichwa vya habari vya magazeti na mitandao
mbalimbali barani Ulaya ni pamoja na meneja wa klabu ya West Bromwich
Albion Tony Pulis amemtengea winga wa Wigan Callum McManaman mwenye umri
wa miaka 23 kitita cha paundi milioni nne. Mbali na kuwindwa na West
Brom winga pia anaripotiwa kuivutia klabu ya Bournemouth huku klabu hiyo
ikiwa tayari kumuuza kwa paundi milioni sita. Nao Swansea City
wametenga kitita cha paundi milioni nne kwa ajili ya kumsajili beki
Martin Olsson wa Norwich huku klabu hiyo ikikubali kumuachia nyota huyo
mwenye umri wa miaka 26 kurejea Ligi Kuu. Klabu ya Manchester United
bado wana matumaini ya kumsajili winga wa Real Madrid Gareth Bale mwenye
umri wa miaka 25 kwa kitita cha paundi milioni 40 pamoja na kumtoa kipa
wake David de Gea ambaye wanamthaminisha kwa paundi milioni 40. Meneja
wa Everton Roberto Martinez amesema klabu hiyo imeonyesha kuwa inaweza
kufikia matakwa ya winga Kevin Mirallas kabla ya nyota huyo wa kimataifa
wa Ubelgiji hajasaini mkataba mpya. Kwa upande wa Liverpool wao
wametupilia mbali dili la kumrejesha mapema mshambuliaji Divock Origi
Anfield. Liverpool walilipa kiasi cha paundi milioni 10 kwa ajili ya
kumsajili nyota huyo wa kimataifa wa Ubelgiji katika majira ya kiangazi
kabla ya kuamua kumpeleka kwa mkopo katika klabu ya Lille ya Ufaransa.
Sasa Liverpool wameamua kuhamishia nguvu zao katika kutaka kumsajili
kiungo wa klabu ya Ipswich Town Teddy Bishop mwenye umri wa miaka 18
ambaye ameanza kucheza katika kikosi cha kwanza msimu huu. Beki wa kati
wa klabu ya Villarreal Gabriel Paulista mwenye umri wa miaka 24
amekaririwa akidai kuwa wakala wake yuko katika mazungumzo na klabu ya
Arsenal juu uwezekano wa kumsajili katika kipindi cha usajili wa
Januari.
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Posted by beki3 at 3:05 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
SASA NIKO FITI - FALCAO.
MSHAMBULIAJI nyota wa Manchester United Radamel Falcao amesisitiza hana
majeraha yanayomsumbua na anataka kujihakikishia nafasi ya kuanza katika
kikosi cha Louis van Gaal. Baada ya kushindwa kupangwa katika kikosi
cha United kilichochapwa bao 1-0 na Southampton Januari 11, nyota huyo
wa kimataifa wa Colombia aliitwa tena katika kikosi cha kwanza katika
mchezo dhidi ya QPR walioshinda kwa mabao 2-0 ingawa hata hivyo
alishindwa kufunga. Baada ya mchezo huo wa mwishoni mwa wiki iliyopita
uliofanyika Loftus Road, Van Gaal amekiri kuwa Falcao atafanyiwa
tathmini kutokana na mabao aliyofunga lakini mshambuliaji huyo mwenyewe
ana uhakika wa kurejesha makali yake ya kufunga kama akipewa nafasi ya
kucheza. Falcao amesema dakika 90 ni muhimu kwake kwani anahitaji
kucheza na anafurahi kupewa nafasi hivyo ni matumaini yake makali yake
ya kufunga yatarejea hivi karibuni. Nyota huyo aliongeza kuwa kwasasa
anajisikia vyema kwani anacheza bila kuwa na maumivu yeyote.
Posted by beki3 at 3:03 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
BAADA YA KULA KICHAPO NA ARSENAL, PELLEGRINI SASA AIWAZA CHELSEA.
MENEJA wa klabu ya Manchester City, Manuel Pellegrini amesema safari ya
kikosi chake kwenda kucheza na Chelsea utakuwa ni mchezo muhimu katika
kuweka hai matumaini ya kutetea taji lao la Ligi Kuu. City jana
walishindwa kupunguza wigo wa alama na vinara Chelsea baada ya kukubali
kipigo cha mabao 2-0 nyumbani kwao dhidi ya Arsenal, hivyo kuwafanya
kuwa nyuma ya vinara hao kwa alama tano. Chelsea wataikaribisha City
Januari 31 huku Pellegrini akitambua wazi kuwa ushindi utakuwa muhimu
kama wanahitaji kutetea taji lao. Akihojiwa Pellegrini amesema litakuwa
jambo muhimu kushinda mchezo wao dhidi ya Chelsea hivyo ni matumaini yao
watasahau haraka kipigo walichopata kutoka kwa Arsenal.
Posted by beki3 at 3:01 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
TEVEZ BADO MGUU NJE MGUU NDANI JUVENTUS.
MSHAMBULIAJI nyota wa kimataifa wa Argentina, Carlos Tevez amebainisha
kuwa bado hajapata uamuzi wa mwisho kuhusiana na mustakabali wake hivyo
anaweza kubakia Juventus. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 30 ana mkataba
na mabingwa hao wa Serie A ambao unamalizika Juni mwakani lakini hivi
karibuni amebainisha kuwa hataki kusaini mkataba mpya hivi sasa na kuzua
tetesi kuwa anataka kurejea nchini kwao. Hata hivyo, Tevez amesisitiza
kuwa anaweza kuamua kusaini mkataba mpya ili aweze kuendelea kuitumikia
Juventus. Akihojiwa na wana habari, Tevez amesema kurudi nyumbani ni
wazo alilokuwa nalo na hataki kuwadanganya mashabiki kwani anaweza
kubadili wazo hilo wakati wowote.
Posted by beki3 at 2:58 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
VAN GAAL AWACHARUKIA MASHABIKI WA UNITED.
MENEJA wa Manchester United, Louis van Gaal amesisitiza kuwa hakubadili
mfumo wa kiuchezaji katika mchezo dhidi ya Queens park Rangers kutokana
na malalamiko ya mashabiki. United ikianza na mfumo wa kuchezesha mabeki
watatu nyuma ilishindwa kuonyesha makeke mpaka walipobadilisha na
kuanza kucheza 4-4-2 baada ya mashabiki kupaza sauti zao kutoka jukwaani
ndipo matunda yalipoanza kuonekana. Lakini Van Gaal amesema kubadili
mfumo ilikuwa mipango yake ya kiufundi katika mchezo huo hivyo kwamba
amesikiliza mashabiki walichokisema sio kweli. Kocha huyo aliendelea
kudai kuwa United ina mashabiki zaidi ya milioni 600 hivyo hadhani kama
ataweza kuchukua maoni ya kila mshabiki. Van Gaal amesema kazi yake ni
kuangalia, kuwasiliana, kuchambua na kuona makosa yanayofanywa na
wachezaji wake wakiwa uwanjani na sio kusikiliza mashabiki wanasemaje.
Posted by beki3 at 2:57 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
BAADA YA USHINDI DHIDI YA CITY, WENGER AANZA KUTAMBA.
MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger amesema ushindi waliopata dhidi ya
Manchester City unatoa majibu kuhusiana na watu waliohoji kuhusu safu
yao ya ulinzi na uwezo wao wa kuzifunga timu kubwa ugenini. Mabao
yaliyofungwa na Santi Cazorla na Olivier Giroud yaliipa ushindi wa mabao
2-0 Arsenal dhidi ya City hivyo kulipa kisasi cha kufungwa mabao 6-3
katika uwanja huohuo wa Etihad msimu uliopita. Akihojiwa Wenger mwenye
umri wa miaka 65 amesema amefurahishwa kwasababu safu yao ya ulinzi
imekuwa ikikosolewa sana. Wenger amesema malengo yalikuwa kuweka mambo
sawa na kushinda mechi kubwa ugenini jambo ambalo walikuwa hawajalifanya
msimu huu. Ushindi wa jana unaipaisha Arsenal mpaka nafasi ya tano
katika msimamo wa ligi wakiwa kwa alama moja kufikia nafasi ya nne
ambayo itawafanya wafuzu michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Posted by beki3 at 2:55 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
AFCON 2015: GYAN HATIHATI KUIVAA SENEGAL.
NAHODHA wa kikosi cha timu ya taifa ya Ghana, Asamoah Gyan anatarajiwa
kuukosa mchezo wa ufunguzi wa timu yake wakati itakapopambana na Senegal
baadae hii leo. Timu hizo zitaanza kukwaana huko Mongomo na baadae
usiku kufuatiwa na mchezo mwingine kati ya Algeria na Afrika Kusini
mechi zikiwa za kundi C. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho
la Soka la Ghana ilidai kuwa mshambuliaji huyo alikuwa amepumzishwa
katika hospitali iliyopo katika mji wa Mongomo toka Jumamosi jioni na
kuruhusiwa Jana asubuhi. Inahisiwa kuwa Gyan alikuwa akisumbuliwa na
malaria na tayari amepata matibabu ya awali huku hali yake ikizidi
kuimarika.
Posted by beki3 at 2:53 AM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)
Search This Blog
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Meneja
wa West Brom Tony Pulis ametoa dau la pauni milioni 4 kumtaka winga wa
Wigan Callum McManaman, 23 ingawa Wigan wanataka pauni milioni 6 (Daily
Telegraph), Swansea nao wametoa dau la pauni milioni 4 kutaka kumsajili
beki Martin Olsson (Daily Express), Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Manchester United wana matumaini ya kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale, 25 kwa pauni milioni 40, pamoja na kipa David De Gea, 24 ambaye thamani yake ni pauni milioni 40 (Manchester Evening News)
Liverpool imebadili nia yake ya kumrejesha Divock Origi, 19, aliyesajiliwa kwa pauni milioni 10 na kurejeshwa Lille kwa mkopo (Daily Star), Liverpool wapo katika nafasi nzuri ya kumsajili kiungo wa Ispwich Teddy Bishop, 18 (Daily Mirror),
beki wa kati wa Villarreal Gabriel Paulista, 24 amesema wakala wake yupo katika mazungumzo na Arsenal juu ya uhamisho mwezi wa Januari (Sky Sports). Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Usajili uliothibitishwa, nitakujulisha utakapothibitishwa.
KATIKA habari za tetesi
za usajili zilizopamba vichwa vya habari vya magazeti na mitandao
mbalimbali barani Ulaya ni pamoja na meneja wa klabu ya West Bromwich
Albion Tony Pulis amemtengea winga wa Wigan Callum McManaman mwenye umri
wa miaka 23 kitita cha paundi milioni nne. Mbali na kuwindwa na West
Brom winga pia anaripotiwa kuivutia klabu ya Bournemouth huku klabu hiyo
ikiwa tayari kumuuza kwa paundi milioni sita. Nao Swansea City
wametenga kitita cha paundi milioni nne kwa ajili ya kumsajili beki
Martin Olsson wa Norwich huku klabu hiyo ikikubali kumuachia nyota huyo
mwenye umri wa miaka 26 kurejea Ligi Kuu. Klabu ya Manchester United
bado wana matumaini ya kumsajili winga wa Real Madrid Gareth Bale mwenye
umri wa miaka 25 kwa kitita cha paundi milioni 40 pamoja na kumtoa kipa
wake David de Gea ambaye wanamthaminisha kwa paundi milioni 40. Meneja
wa Everton Roberto Martinez amesema klabu hiyo imeonyesha kuwa inaweza
kufikia matakwa ya winga Kevin Mirallas kabla ya nyota huyo wa kimataifa
wa Ubelgiji hajasaini mkataba mpya. Kwa upande wa Liverpool wao
wametupilia mbali dili la kumrejesha mapema mshambuliaji Divock Origi
Anfield. Liverpool walilipa kiasi cha paundi milioni 10 kwa ajili ya
kumsajili nyota huyo wa kimataifa wa Ubelgiji katika majira ya kiangazi
kabla ya kuamua kumpeleka kwa mkopo katika klabu ya Lille ya Ufaransa.
Sasa Liverpool wameamua kuhamishia nguvu zao katika kutaka kumsajili
kiungo wa klabu ya Ipswich Town Teddy Bishop mwenye umri wa miaka 18
ambaye ameanza kucheza katika kikosi cha kwanza msimu huu. Beki wa kati
wa klabu ya Villarreal Gabriel Paulista mwenye umri wa miaka 24
amekaririwa akidai kuwa wakala wake yuko katika mazungumzo na klabu ya
Arsenal juu uwezekano wa kumsajili katika kipindi cha usajili wa
Januari.
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
No comments:
Post a Comment