
Rapper kutoka Young
Money Nicki Minaj amekuwa kwenye nafasi nzuri katika rekodi za bilboard kwa
kuwa na nyimbo 56 kwenye chati hizo. Wimbo wa Nicki
Minaj “Bed Of Lies” aliofanya na Skylar Grey umeingia kwenye chati za bilboard
na kumuweka nafasi moja na msanii Madonna na Dionne Warwick.
Wasanii ambao
wanaoshikilia rekodi hii ni pamoja na Aretha Franklin mwenye nyimbo 73, Taylor
Swift mwenye nyimbo 66. Albm mpya ya Minaj The Pink Print Inatoka December 15.
No comments:
Post a Comment