Sergio Aguero ameibuka kidedea na kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa
mwaka kupitia tuzo ambayo hutolewa na mashabiki wa soka.
Tuzo hiyo hutolewa na Chama cha Mashabiki wa Soka na Aguero ndiye
amekuwa kinara.
Muargentina huyo sasa ni kinara wa mabao England na anaonekana
kuwa mmoja wa washambuliaji hatari zaidi watatu wa juu England.
Katika utolewaji wa tuzo hizo jana kwenye Ukumbi wa St Pancras
Renaissance Hotel in London, Aguero aliongozana na mpenzi wake, Karina Tejeda.
VICHWA
VITATU VYA BALLON D'OR HIVI HAPA, MSHINDI JANUARI MWAKANI
Cristiano
Ronaldo, Lionel Messi na Manuel Neuer ndiyo vichwa vitatu vilivyoteuliwa
kuwania tuzo ya FIFA Ballon d'Or 2014.
Watatu
hao ndiyo wameingia fainali na mshindi atapatikana Januari 12, 2015.
Neuer,
28, aliteuliwa mara ya mwisho mwaka 2006 kuwania tuzo hiyo, usisahau ndiye
aliiwezesha Ujerumani kubeba Kombe la Dunia Brazil mwaka huu.
Messi,
ndiye mchezaji anaongoza kwa kutwaa tuzo nyingi kama hizo, amebeba mara nne na
kwa jina la Ballon d'Or ni kwa miaka hii (2009-2012).
Cristiano
Ronaldo anapambana kupata tuzo yake ya tatu Ballon d'Or.
Alitwaa
ya kwanza mwaka 2008 akiwa na Manchester United na mara ya mwisho akiwa na Real
Madrid na ndiye mtetezi.
Uteuzi wa
Kipa wa Bayern Munich, Manuel Neuer , unamfanya awe Kipa wa kwanza kuteuliwa
kuwa Mgombea Ballon d'Or tangu Mwaka 2002 wakati Oliver Kahn aliechezea pia
Bayern Munich na Germany.
Kwa
upande wa Wanawake, Wagombea Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani ni Nadine Kessler
(Germany), Marta (Brazil) na Abby Wambach (USA).
Kwa
upande wa Makocha, Wagombea waliofika Fainali ni Kocha wa Real Madrid Carlo
Ancelotti, Kocha wa Mabingwa wa Dunia Joachim Low na Kocha wa Mabingwa wa Spain
Atletico Madrid Diego Simeone.
Washindi
wa Tuzo hizo watatangazwa hapo Januari 12 sambamba na Mshindi wa Ballon d'Or.
THIERRY
HENRY ATUNGIKA DALUGA MAREKANI, APANIA KURUDI KIVINGINE ARSENAL

Mwanasoka
huyo wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa, ametangaza uamuzi wake huo siku tatu
baada ya kukiri anapenda kurudi Arsenal, na kubadilisha picha yake ya bango
katika ukurasa wake wa Facebook kwa kuweka picha ya Uwanja wa Emirates.
Mkongwe
huyo mwenye umri wa miaka 37 atatumia wiki chache zijazo kuamua mustakabali
wake wa baadaye wa maisha, huku kufundisha klabu katika Ligi Kuu ya England
ikiwa moja ya mipango.MATAJI YA THIERRY HENRY NA
KLABU ALIZOCHEZEA
Henry
aliliambia jarida la L'Equipe la
Ufaransa Ijumaa kwamba atabakia kwenye soka baada ya kustaafu kama mchezaji kwa
kugeukia ukocha, ushauri au utendaji.
Mshindi
huyo wa Kombe la Dunia mwaka 1998 amekiri kujuta kushindwa kuisaidia Arsenal
kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya na ndiyo maana anataka kwenda kutoa
mchango wake katika klabu ipate mafanikio Ulaya.
MAN U YANG'ANG'ANA NAFASI YA NNE..!
Manchester
United, wakicheza kwao Old Trafford, wameichapa Stoke City Bao 2-1 na kubakia
Nafasi ya 4 kwenye Msimamo wa Ligi Kuu England huku wakipata ushindi wao wa 4
mfululizo kwenye Ligi baada ya Miezi 12.
Wakicheza
bila Majeruhi Nahodha wao Wayne Rooney na Angel Di Maria, Bao za Man United
zilifungwa na Marouane Fellaini, Dakika ya 21, na Frikiki ya Dakika ya 59 ya
Juan Mata ambayo Marcos Rojo alidai kuigusa kwa Kichwa na kutinga.
Kama Goli
hilo atapewa Rojo basi hilo ni Bao lake la kwanza kwa Man United.
Bao la
Stoke lilifungwa na Steven N’Zonzi Dakika ya 39.
MATOKEO:
Jumanne
Desemba 2
Burnley 1
Newcastle 1
Leicester
1 Liverpool 3
Man
United 2 Stoke 1
Swansea 2
QPR 0
Crystal
Palace 0 Aston Villa 1
West Brom
1 West Ham 2
++++++++++++++++++++
RATIBA:
**Saa
za Bongo
Jumatano
Desemba 3
2245
Arsenal v Southampton
2245
Chelsea v Tottenham
2245
Everton v Hull
2245
Sunderland v Man City
#
|
Team
|
MP
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
D
|
P
|
1
|
13
|
10
|
3
|
0
|
30
|
11
|
+19
|
33
|
|
2
|
13
|
8
|
3
|
2
|
27
|
13
|
+14
|
27
|
|
3
|
13
|
8
|
2
|
3
|
24
|
9
|
+15
|
26
|
|
4
|
14
|
7
|
4
|
3
|
24
|
16
|
+8
|
25
|
|
5
|
14
|
7
|
3
|
4
|
23
|
17
|
+6
|
24
|
|
6
|
14
|
6
|
4
|
4
|
19
|
14
|
+5
|
22
|
|
7
|
13
|
5
|
5
|
3
|
21
|
15
|
+6
|
20
|
|
8
|
14
|
6
|
2
|
6
|
19
|
19
|
+0
|
20
|
|
9
|
13
|
6
|
2
|
5
|
18
|
18
|
+0
|
20
|
|
10
|
14
|
5
|
5
|
4
|
15
|
17
|
-2
|
20
|
|
11
|
13
|
4
|
5
|
4
|
23
|
21
|
+2
|
17
|
|
12
|
14
|
4
|
4
|
6
|
8
|
18
|
-10
|
16
|
|
13
|
14
|
4
|
3
|
7
|
14
|
18
|
-4
|
15
|
|
14
|
13
|
2
|
8
|
3
|
12
|
19
|
-7
|
14
|
|
15
|
14
|
3
|
4
|
7
|
18
|
23
|
-5
|
13
|
|
16
|
14
|
3
|
4
|
7
|
14
|
20
|
-6
|
13
|
|
17
|
14
|
2
|
6
|
6
|
10
|
22
|
-12
|
12
|
|
18
|
13
|
2
|
5
|
6
|
14
|
20
|
-6
|
11
|
|
19
|
14
|
3
|
2
|
9
|
14
|
27
|
-13
|
11
|
|
20
|
14
|
2
|
4
|
8
|
14
|
24
|
-10
|
10
|
No comments:
Post a Comment