HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Friday, 12 December 2014

HABARI MUHIMU: MKUU MPYA WA MKOA WA TANGA AWASILI KUANZA KAZI RASMI..!!


Mhe. Dk. Rajabu Rutengwe aliyeshika wadhifa huo kwa muda usiozidi mwezi mmoja katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa




Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Magalula Saidi Magalula( kulia) akipokea taarifa ya makabidhiano ya Mkoa wa Tanga kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Dk. Rajabu Rutengwe aliyeshika wadhifa huo kwa muda usiozidi mwezi mmoja. kabla ya kuteuliwa Mhe. Dk. Rutengwe.





Chiku Gallawa akimkabidhi taarifa ya makabidhiano kwa Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Dk. Rajabu Rutegwe.


No comments:

Post a Comment