Jumapili Desemba 21
Newcastle 0 Sunderland
1
Liverpool 2 Arsenal2
++++++++++++++++++++++
Liverpool, wakicheza kwao Anfield jana,
wamejinusuru kwa kusawazisha Bao katika Dakika ya 96 walipokuwa nyuma kwa Bao
2-1 walipocheza na Arsenal na Refa Michael Oliver kuongeza Dakika 9 za nyongeza
kufidia muda ambao Beki wao Martin Skrtel alipokuwa akitibiwa na ni yeye Skrtel
ndie alisawazisha Bao hilo kwa Kichwa.
Liverpool walitangulia kufunga Bao
katika Dakika ya 45 kupitia Phillippe Coutinho na Arsenal kusawazisha Dakika
moja baadae kwa Bao la Mathieu Debuchy.
Kipindi cha Pili, Olivier Giroud
aliipa Arsenal Bao la Pili na lilidumu hadi Dakika ya 90 ambapo Refa Michael
Oliver aliongeza Dakika 9 za Majeruhi na Dakika 3 baadae Liverpool kubaki Mtu
10 baada ya Fabio Borini kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu baada ya kumchezea Rafu
Cazorla.
Zikiwa zimebaki Dakika 3 za muda wa
Majeruhi uliongezwa kwa kuumia Sentahafu wa Liverpool Martin Skrtel, Beki huyo
huyo ndie alieunganisha Kona ya Adam Lallana kwa Kichwa na kuipa Liverpool Sare
ya Bao 2-2.
++++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Liverpool 2
Liverpool 2
-Phillippe Coutinho Dakika ya 45
-Martin Skrtel 90 +6:05
Arsenal 2
-Mathieu Debuchy Dakika ya 45 +1:07
-Olivier Giroud 64
++++++++++++++++++++++
Matokeo haya yamewaacha Liverpool
wakiwa Nafasi ya 10 wakiwa na Pointi 22 huku Arsenal wakiwa Nafasi ya 6 wakiwa
na Pointi 27 na Timu zote zikibaki kutupwa mbali kidogo na Timu 4 za juu ambapo
Timu iliyo Nafasi ya 4, West Ham, ina Pointi 31.
Ligi Kuu England itaendelea Jumatatu
Usiku wakati Vinara wa Ligi Chelsea watakapotembelea Britannia Stadium kucheza
na Timu ngangari Stoke City.
LIGI KUU ENGLAND RATIBA MECHI ZA MWISHO MWAKA HUU NA MWANZONI 2015
|
**Saa za Bongo
|
|
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Jumatatu Desemba 22
2300 Stoke v Chelsea
Ijumaa Desemba 26
1545 Chelsea v West
Ham
1800 Burnley v
Liverpool
1800 Cry Palace v
Southampton
1800 Everton v
Stoke
1800 Leicester v
Tottenham
1800 Man United v
Newcastle
1800 Sunderland v
Hull
1800 Swansea v Aston
Villa
1800 West Brom v Man
City
2030 Arsenal v QPR
Jumapili Desemba 28
1500 Tottenham v Man
United
1705 Southampton v
Chelsea
1800 Aston Villa v
Sunderland
1800 Hull v
Leicester
1800 Man City v Burnley
1800 QPR v Crystal
Palace
1800 Stoke v West
Brom
1800 West Ham v
Arsenal
1915 Newcastle v
Everton
|
|
Jumatatu Desemba 29
2300 Liverpool v
Swansea
Alhamisi Januari 1
1545 Stoke v Man United
1800 Aston Villa v Crystal
Palace
1800 Hull v
Everton
1800 Liverpool v
Leicester
1800 Man City v
Sunderland
1800 Newcastle v
Burnley
1800 QPR v
Swansea
1800 Southampton v
Arsenal
1800 West Ham v West
Brom
2030 Tottenham v Chelsea
England
- Premier League Powered by
|

No comments:
Post a Comment