
Ratiba ya
makundi ya kombe la nchi za Afrika mwaka 2015 yalitangazwa jana usiku
huko Malabo nchini Equatorial Guinea,ni makundi manne yenye timu nne na
mashindano hayo yataanza mwezi wa kwanza tarehe 17.
Makundi
yamebadilishwa ndani ya wiki moja baada yakuingiza timu mwenyeji wa mashindano
Equatorial Guinea iliyochukua nafasi ya Morocco iliyojitoa kwenye mashindano
hayo kutokana na tishio la ugonjwa wa ebola
Bingwa
mtetezi timu ya taifa ya Nigeria imeshindwa kufuzu.
Makundi
hayo ni kama yafuatayo;
Group
A: Equatorial Guinea, Congo, Gabon, Burkina Faso
Group
B: Zambia, DR Congo, Cape Verde, Tunisia
Group
C: Ghana, Senegal, South Africa, Algeria
Group
D: Ivory Coast, Guinea, Cameroon, Mali
****Kundi
linaloonekana kutisha zaidi ni kundi C ambalo lina timu vigogo***
No comments:
Post a Comment