
Wachambuzi
wa Masuala ya Mahusiano hasa ya kimapenzi wanatumia ndoa ya Nguli wa Soka David Beckam na Mwanamuziki Victoria Posh kama ndoa ya mfano kwa watu maarufu kutokana na mwenendo wao
na muda waiodumu katika mahusiano ya Mume na Mke mpaka sasa.
Mastaa
hao wawili David
Beckham na mke wake Victoria wameoana
tangu mwaka 1999, sherehe ya ndoa yao ni moja ya sherehe zilizohudhuliwa na
watu wachache zaidi ambapo wageni waalikwa walikuwa 29 tu.
Mpaka
sasa mastaa hao wana watoto wanne, mbali ya maisha yao kuwa ya kuhama hama
lakini bado ndoa yao ni moja kati ya ndoa za mastaa vijana ambazo zimedumu muda
mrefu zaidi na bado zinaonekana imara.
Swali
ni Je..!! Mastaa wa kibongo wanaweza haya..??
No comments:
Post a Comment