
Droo ya
Raundi ya Mtoano ya UEFA CHAMPIONZ LIGI imefanyika muda mfupi uliopita na zifuatazo
ndio Mechi zilizopangwa.
DROO RAUNDI YA
MTOANO YA TIMU 16:
Basel v Porto
ArsenalvMonaco
Shakhtar Donetsk v Bayern
Munich
Schalke v Real Madrid
Juventus v
Borussia Dortmund
Bayer Leverkusen v Atletico
Madrid
Manchester City
v Barcelona
Paris
Saint-Germain v Chelsea
**Mechi za Raundi ya Mtoano ya Timu 16
zitachezwa kwa mikondo miwili ya Nyumbani na Ugenini hapo Februari 17/18 na
24/25 huku Marudiano yakiwa Machi 10/11 na 17/18.
Washindi wa Makundi wataanza Mechi Ugenini na kurudiana Nyumbani
kwao.
No comments:
Post a Comment