Tunasikitika
kuwataarifu kuwa ndugu yetu na mzee wetu Mr.Estomino Mamkwe (Pichani)wa Pongwe TANGA amefariki
usiku wa kuamkia jana jijini Dar Es Salaam ,taratibu na mipango ya mazishi
inafanywa,tutahabarishana zaidi.
Uongozi wa Mtandao huu unatoa pole kwa wate waliofikwa na msiba huu mzito.Raha ya milele umpe ee
Bwana na mwanga wa milele umwangazie,apumzike kwa Amani.Ameeeen!
No comments:
Post a Comment