Jumamosi Novemba22
Chelsea 2 West
Brom 0
Everton 2 West
Ham
1
Leicester 0
Sunderland
0
Man City 2
Swansea
1
Newcastle 1
QPR 0
Stoke 1
Burnley 2
Arsenal 1 Man
United 2
++++++++++++++++++
WAKICHEZA Ugenini huko Emirates na Difensi ya
kuungaunga iliyoongozwa na Chris Smalling akisaidiwa na Chipukizi Tyler
Blackett na Paddy McNair na Mawinga wawili, Valencia na Ashley Young, Man
United walifanikiwa kuwatwanga Arsenal Bao 2-1 na kuchupa hadi Nafasi ya 4
kwenye Msimamo wa Ligi Kuu.
Wakitumia Mfumo wa 3-4-1-2, Meneja wa Man United
Louis van Gaal alifanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza wa Ugenini kwenye Ligi
baada ya kupata Mabao kupitia Mchezaji wa Arsenal Kieran Gibbs aliejifunga
mwenyewe na Kepteni Wayne Rooney baada ya kaunta ataki.
Bao la Arsenal lilifungwa na Olivier Giroud
alieingizwa kutoka Benchi akirejea Uwanjani baada ya kukaa Miezi Mitatu nje
akiuuguza Mguu wake uliovunjika.
Licha ya kuanza na Difensi dhaifu, Man United pia
walipata balaa katika Dakika ya 16 wakati Fulbeki Luke Shaw alipoumia enka na
kubadilishwa na Winga Ashley Young.
++++++++++++++++++
LIVERPOOL, wakicheza Ugenini huko Selhurst Park
Jijini London, waliongoza baada ya Sekunde 90 tu kwa Bao la Rickie Lambert
lakini wakajikutwa wakibwagwa chali na kukung’utwa Bao 3-1 na Crystal Palace
katika Mechi ya Ligi Kuu England.
Palace walisawazisha Bao katika Dakika ya 17 kwa Bao
la Dwight Gayle alienasa Shuti la Yannick Bolasie lililopiga Posti na kumrudia.
Kipindi cha Pili Dakika ya 78 Joe Ledley aliwapeleka
Palace mbele 2-1 na kisha Dakika 3 baadae Frikiki ya Mita 25 ya Mile Jedinak
ilitinga na kuwapa Palace Bao lao la 3.
Mechi hii imewaacha Wadau wa Liverpool wakihoji
uchezaji wa Nahodha wao Steven Gerrard na Raheem Sterling ambao wameonyesha
kufifia mno.
Kipigo hiki cha jana kinawafanya Liverpool wawe
wamechapwa Mechi 3 mfulilizo za Ligi na kushinda Mechi 1 tu kati ya 5
zilizopita na kuwaacha wakiwa Nafasi ya 12 wakiwa Pointi 18 nyuma ya Vinara
Chelsea.
Katika Mechi zao 2 zilizopita, Liverpool
wametandikwa 2-1 na Chelsea na 1-0 na Newcastle.
Jumapili Novemba 23
Crystal Palace 3 Liverpool
1
1900 Hull City v
Tottenham
++++++++++++++++++
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
**Saa za Bongo
Jumatatu Novemba 24
2300 Aston Villa v
Southampton
Jumamosi Novemba 29
1545 West Brom v Arsenal
1800 Burnley v Aston
Villa
1800 Liverpool v
Stoke
1800 Man Utd v
Hull
1800 QPR v
Leicester
1800 Swansea v Crystal
Palace
1800 West Ham v
Newcastle
2030 Sunderland v
Chelsea
Jumapili Novemba 30
1630 Southampton v Man
City
1900 Tottenham v
Everton
Jumanne Desemba 2
2245 Burnley v
Newcastle
2245 Leicester v Liverpool
2245 Man Utd v
Stoke
2245 Swansea v
QPR
2300 Crystal Palace v
Aston Villa
2300 West Brom v West Ham
Jumatano Desemba 3
2245 Arsenal v
Southampton
2245 Chelsea v Tottenham
2245 Everton v Hull
2245 Sunderland v Man
City
|
#
|
Team
|
MP
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
D
|
P
|
|
1
|
Chelsea
|
12
|
10
|
2
|
0
|
30
|
11
|
+19
|
32
|
|
2
|
Southampton
|
11
|
8
|
1
|
2
|
23
|
5
|
+18
|
25
|
|
3
|
Manchester City
|
12
|
7
|
3
|
2
|
24
|
13
|
+11
|
24
|
|
4
|
Manchester United
|
12
|
5
|
4
|
3
|
19
|
15
|
+4
|
19
|
|
5
|
Newcastle United
|
12
|
5
|
4
|
3
|
14
|
15
|
-1
|
19
|
|
6
|
West Ham United
|
12
|
5
|
3
|
4
|
20
|
16
|
+4
|
18
|
|
7
|
Swansea City
|
12
|
5
|
3
|
4
|
16
|
13
|
+3
|
18
|
|
8
|
Arsenal
|
12
|
4
|
5
|
3
|
20
|
15
|
+5
|
17
|
|
9
|
Everton
|
12
|
4
|
5
|
3
|
22
|
19
|
+3
|
17
|
|
10
|
Tottenham Hotspur
|
12
|
5
|
2
|
5
|
16
|
17
|
-1
|
17
|
|
11
|
Stoke City
|
12
|
4
|
3
|
5
|
13
|
15
|
-2
|
15
|
|
12
|
Liverpool
|
12
|
4
|
2
|
6
|
15
|
18
|
-3
|
14
|
|
13
|
West Bromwich …
|
12
|
3
|
4
|
5
|
13
|
17
|
-4
|
13
|
|
14
|
Sunderland
|
12
|
2
|
7
|
3
|
12
|
19
|
-7
|
13
|
|
15
|
Crystal Palace
|
12
|
3
|
3
|
6
|
17
|
21
|
-4
|
12
|
|
16
|
Hull
City
|
12
|
2
|
5
|
5
|
14
|
17
|
-3
|
11
|
|
17
|
Aston Villa
|
11
|
3
|
2
|
6
|
5
|
16
|
-11
|
11
|
|
18
|
Leicester City
|
12
|
2
|
4
|
6
|
11
|
18
|
-7
|
10
|
|
19
|
Burnley
|
12
|
2
|
4
|
6
|
8
|
20
|
-12
|
10
|
|
20
|
Queens Park Ra…
|
12
|
2
|
2
|
8
|
11
|
23
|
-12
|
8
|


No comments:
Post a Comment