RATIBA/MATOKEO:
**Saa
za Bongo
Jumamosi
Novemba 29
West
Brom 0 Arsenal 1
Burnley
1 Aston Villa
1
Liverpool
1 Stoke 0
Man
United 3 Hull City 0
QPR
3 Leicester2
Swansea
1 Crystal Palace 1
West
Ham 1 Newcastle 0
2030 Sunderland v
Chelsea
++++++++++++++++++++++
Chris Smalling,
Wayne Rooney na Robin van Persie walipiga Bao Uwanjani Old Trafford na kuipa
Manchester United ushindi wa Bao 3-0 dhidi ya Hull City kwenye Mechi ya Ligi
Kuu Englnd.
Bao la kwanza
lilifungwa na Smalling baada ya kizaazaa kufuatia Kona ya Rooney na Kipa
McGregor kudakia Mpira ndani na Refa Anthony Taylor kuamua ni Bao baada ya
kupata msaada wa GDS [Goal Decision System] yaani ule mfumo wa Elektronik
kuamua kama Mpira umevuka mstari wa Goli au la.
Bao la pili
lilifungwa na Rooney na la tatu kufungwa kifundi na Van Persie.
Ushindi huu
umewabakisha Man United Nafasi ya 4 kwenye Ligi Kuu England.
VIKOSI:
Man
United: De
Gea, Smalling, Carrick, Rojo, Valencia (Fletcher - 74'), Mata,Fellaini,
Di Maria (Herrera - 14'), Young, van Persie (Falcao - 70'), Rooney.
Akiba:
Falcao, Januzaj, Lindegaard, Ander Herrera, Fletcher, Blackett, McNair.
Hull
City: McGregor,
Davies, Dawson, Chester, Elmohamady, Diame (Quinn - 75'),
Livermore, Brady (Meyler - 75'), Robertson, Ben Arfa (Aluko - 35'), Jelavic.
Livermore, Brady (Meyler - 75'), Robertson, Ben Arfa (Aluko - 35'), Jelavic.
Akiba:
Rosenior, Bruce, Meyler, Jakupovic, Aluko, Quinn, Huddlestone.
REFA: Anthony Taylor
REFA: Anthony Taylor
LIGI
KUU ENGLAND
RATIBA:
**Saa
za Bongo
Jumapili
Novemba 30
1630
Southampton v Man City
1900
Tottenham v
Everton
Jumanne
Desemba 2
2245
Burnley v Newcastle
2245
Leicester v Liverpool
2245
Man United v Stoke
2245
Swansea v QPR
2300
Crystal Palace v Aston Villa
2300
West Brom v West Ham
Jumatano
Desemba 3
2245
Arsenal v Southampton
2245
Chelsea v Tottenham
2245
Everton v Hull
2245
Sunderland v Man City
No comments:
Post a Comment