UEFA CHAMPIONZ LIGI
RATIBA
**Mechi zote kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku isipokuwa inapotajwa
**Saa za Bongo
Jumanne Oktoba 21
KUNDI E
1900 CSKA Moscow v Man City
AS Roma v Bayern Munich
KUNDI F
APOEL Nicosia v Paris St-Germain
Barcelona v Ajax
KUNDI G
Chelsea v NK Maribor
FC Schalke 04 v Sporting Lisbon
KUNDI H
BATE Borisovs v Shakhtar Donetsk
FC Porto v Athletic Bilbao
+++++++++++++++++++++++++++++
RATIBA
**Mechi zote kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku isipokuwa inapotajwa
**Saa za Bongo
Jumanne Oktoba 21
KUNDI E
1900 CSKA Moscow v Man City
AS Roma v Bayern Munich
KUNDI F
APOEL Nicosia v Paris St-Germain
Barcelona v Ajax
KUNDI G
Chelsea v NK Maribor
FC Schalke 04 v Sporting Lisbon
KUNDI H
BATE Borisovs v Shakhtar Donetsk
FC Porto v Athletic Bilbao
+++++++++++++++++++++++++++++
UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, Jumanne Usiku inaanza Mechi zake za Tatu za Makundi ambapo safari hii Timu zitakazocheza zitakuwa zinacheza nje ndani, yaani kukutana Wiki hii na kurudiana Timu hizo hizo katika Ratiba inayofuata.
IFUATAYO NI TATHMINI KWA MECHI ZA JUMANNE ZA MAKUNDI E, F, G na H:
KUNDI E
CSKA MOSCOW v MANCHESTER CITY
Mabingwa wa England, Man City wanaenda huko Moscow, Urusi kucheza na CSKA Moscow huku Timu zote hizi zikisaka ushindi wa kwanza katika Kundi lao.
Timu zote zinaingia kwenye Mechi hii wakitokea kwenye ushindi wa kishindo kwenye Ligi zao Siku ya Jumamosi kwa City kuibamiza Tottenham Bao 4-1 huku Bao zote zikifungwa na Sergio Aguero na CSKA ikiichapa Kuban Krasnodar 6-0.
Lakini Mechi hii ya UCL ndani ya Arena Khimki itachezwa bila ya Watazamaji baada ya UEFA kuiadhibu CSKA kwa vurugu Mwezi uliopita walipocheza na AS Roma.
Msimu uliopita, hapo hapo Arena Khimki, City waliichapa CSKA Bao 2-1 kwa Bao za Aguero lakini Mchezaji wao Yaya Toure alikumbana na adha ya kuandamwa na kauli za Kibaguzi.
AS ROMA v BAYERN MUNICH
Hii ndio Mechi, inayochezwa Stadio Olimpico Jijini Rome, inayotarajiwa kuwa ni kali katika Ratiba yote ya UCL Jumanne Usiku.
Kocha Pep Guardiola anarudi kwenye Uwanja ambao aliingoza Barcelona Mwaka 2009 kutwaa Ubingwa wa UCL na safari hii yupo na Bayern ambayo haijafungwa Msimu huu mpya na pia wameshashinda Mechi zao mbili za kwanza za Kundi E.
Beki wa Bayern kutoka Morocco, Mehdi Benatia, anarudi Rome kucheza dhidi ya Klabu aliyoihama mwanzoni mwa Msimu huu.
Kwenye Kundi hili, AS Roma wapo na Pointi 4 na Mechi yao ya mwisho walitoka Sare 1-1 Ugenini na Manchester City.
KUNDI F
APOEL v PARIS SAINT-GERMAIN
Mabingwa wa France PSG bado hawajaonja kipigo Msimu huu na Juzi waliichapa Lens Bao 3-1 kwenye Ligue 1 na Wiki 3 zilizopita waliitwanga Barcelona Bao 3-2 kwenye Mechi ya Kundi hili.
PSG, chini ya Kocha Laurent Blanc, bado inawakosa Majeruhi Marquinhos, Ezequiel Lavezzi na Zlatan Ibrahimovic lakini Nahodha wao Thiago Silva anarejea baada ya kuwa nje kwa Miezi miwili.
APOEL, ambao waliidindia Barca na kufungwa mwishoni na kisha kutoka Sare na Ajax kwenye Kundi hili, ni wagumu mno kwa Mechi zao za Nyumbani na hadi sasa hawajafungwa katika Mechi zao 3 zilizopita.
BARCELONA v AJAX
Klabu hizi zinakutana kwa mara nyingine tena kwenye UCL katika Misimu miwili mfululizo na kwenye Mechi yao ya mwisho Barca iliichapa Ajax Bao 4-0 Uwanjani Camp Nou Mwezi Septemba Mwaka Jana.
Msimu huu, Barca wanatamba huko La Liga kwa kushinda Mechi zao 7 na Sare 1 lakini kwenye Mechi yao ya mwisho ya Kundi F walichapwa 3-2 na PSG na safari hii huenda wakatinga kwenye Mechi hii huku wakiwa na jicho moja kwenye mtanange wao wa Jumamosi wa El Clasico dhidi ya Mahasimu wao Real Madrid huko El Estadio Santiago Bernabeu.
Katika Mechi yao ya mwisho ya Kundi hili, Ajax walitoka 1-1 na APOEL na hawajashinda katika Mechi zao 8 zilizopita za Ugenini za UCL.
Mechi hii inawakutanisha Mameneja ambao walicheza pamoja wakiwa Barcelona Miaka 10 iliyopita, Frank de Boer wa Ajax na Luis Enrique wa Barcelona.
KUNDI G
SCHALKE 04 v SPORTING
Roberto Di Matteo, ambae alitwaa ubingwa wa UCL Mwaka 2012 akiwa na Chelsea, anaiongoza kwa mara ya kwanza Klabu yake mpya Schalke kwenye Mashindano haya baada ya kuanza himaya yake Juzi Jumamosi kwa kuifunga Hertha Berlin Bao 2-0 kwenye Bundesliga.
Schalke wametoka Sare Mechi zao zote mbili za Kundi G.
Nao Sporting wanatua huko Germany wakiwa wametoka Sare Mechi moja na kufungwa moja kwenye Kundi G.
CHELSEA v MARIBOR
Licha ya Meneja wa Chelsea Jose Mourinho kusema Straika wake hatari Diego Costa ataikosa Mechi hii na Klabu ya Slovenia Maribor itakayochezwa Stamford Bridge, ni wachache wanaotegemea Chelsea kusumbuliwa.
Kwenye Mechi mbili za Kundi hili Chelsea wameshinda moja na kutoka Sare 1-1 na Schalke Uwanjani Stamford Bridge.
Marobor wao wametoka Sare Mechi zao zote mbili za Kundi hili dhidi ya Sporting na Schalke.
KUNDI H
BATE BORISOV v SHAKHTAR DONETSK
Hii ni Mechi muhimu kwenye Kundi ambalo Timu zote hazikutofautiana sana lakini BATE wameshinda Mechi zao zote walizocheza kwenye Uwanja wao mpya wa Nyumbani huku Shakhtar wakionyesha kupwaya hivi karibuni licha ya Ijumaa iliyopita kuiponda Volyn Lutsk Bao 6-2 kwenye Ligi ya kwao Ukraine.
FC PORTO v ATHLETIC BILBAO
Ni Mechi inayokutanisha Majirani na Nchi pinzani sana Kisoka huku Athletic wakisaka ushindi baada ya kuzoa Pointi 1 tu kwenye Mechi mbili za kwanza za Kundi H na pia wakiwa kwenye mbio za Mechi 8 za kutoshinda Mechi yeyote.
Juzi FC Porto, ambao wameshinda Mechi 1 na Sare 1 toka Kundi hili, ilitolewa nje ya Kombe la Ureno na Sporting.
UEFA CHAMPIONZ LIGI
RATIBA
**Mechi zote kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku
**Saa za Bongo
Jumatano Oktoba 22
KUNDI A
Atlético Madrid v Malmö FF
Olympiakos v Juventus
KUNDI B
Liverpool v Real Madrid
Ludogorets Razgrad v FC Basel
KUNDI C
Bayer 04 Levserkusen v Zenit St Petersburg
Monaco v Benfica
KUNDI D
Galatasaray v Borussia Dortmund
RSC Anderlecht v Arsenal
+++++++++++++++++++++++++++++
UEFA CHAMPIONZ LIGI
MSIMAMO
KUNDI A
|
||||||||
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
Club
Atlético de Madrid
|
2
|
1
|
0
|
1
|
3
|
3
|
0
|
3
|
Juventus
|
2
|
1
|
0
|
1
|
2
|
1
|
1
|
3
|
Malmö
FF
|
2
|
1
|
0
|
1
|
2
|
2
|
0
|
3
|
Olympiacos
|
2
|
1
|
0
|
1
|
3
|
4
|
-1
|
3
|
KUNDI
B
|
||||||||
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
Real
Madrid CF
|
2
|
2
|
0
|
0
|
7
|
2
|
5
|
6
|
FC
Basel 1893
|
2
|
1
|
0
|
1
|
2
|
5
|
-3
|
3
|
Liverpool
FC
|
2
|
1
|
0
|
1
|
2
|
2
|
0
|
3
|
PFC
Ludogorets
|
2
|
0
|
0
|
2
|
2
|
4
|
-2
|
0
|
KUNDI
C
|
|
|
|
|
|
|
|
|
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
AS
Monaco FC
|
2
|
1
|
1
|
0
|
1
|
0
|
1
|
4
|
FC
Zenit
|
2
|
1
|
1
|
0
|
2
|
0
|
2
|
4
|
Bayer
04 Leverkusen
|
2
|
1
|
0
|
1
|
3
|
2
|
1
|
3
|
SL
Benfica
|
2
|
0
|
0
|
2
|
1
|
5
|
-4
|
0
|
KUNDI
D
|
||||||||
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
Borussia
Dortmund
|
2
|
2
|
0
|
0
|
5
|
0
|
5
|
6
|
Arsenal
FC
|
2
|
1
|
0
|
1
|
4
|
3
|
1
|
3
|
Galatasaray
AŞ
|
2
|
0
|
1
|
1
|
2
|
5
|
-3
|
1
|
RSC
Anderlecht
|
2
|
0
|
1
|
1
|
1
|
4
|
-3
|
1
|
KUNDI
E
|
||||||||
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
FC
Bayern München
|
2
|
2
|
0
|
0
|
2
|
0
|
2
|
6
|
AS
Roma
|
2
|
1
|
1
|
0
|
6
|
2
|
4
|
4
|
Manchester
City FC
|
2
|
0
|
1
|
1
|
1
|
2
|
-1
|
1
|
PFC
CSKA
|
2
|
0
|
0
|
2
|
1
|
-6
|
-5
|
0
|
KUNDI
F
|
||||||||
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
Paris
Saint-Germain
|
2
|
1
|
1
|
0
|
4
|
3
|
1
|
4
|
FC
Barcelona
|
2
|
1
|
0
|
1
|
3
|
3
|
0
|
3
|
AFC
Ajax
|
2
|
0
|
2
|
0
|
2
|
2
|
0
|
2
|
APOEL
FC
|
2
|
0
|
1
|
1
|
1
|
2
|
-1
|
1
|
KUNDI
G
|
||||||||
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
Chelsea
FC
|
2
|
1
|
1
|
0
|
2
|
1
|
1
|
4
|
FC
Schalke
04
|
2
|
0
|
2
|
0
|
2
|
2
|
0
|
2
|
NK
Maribor
|
2
|
0
|
2
|
0
|
2
|
2
|
0
|
2
|
Sporting
Clube de Portugal
|
2
|
0
|
1
|
1
|
1
|
2
|
-1
|
1
|
KUNDI
H
|
||||||||
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
FC
Porto
|
2
|
1
|
1
|
0
|
8
|
2
|
6
|
4
|
FC
BATE Borisov
|
2
|
1
|
0
|
1
|
2
|
7
|
-5
|
3
|
FC
Shakhtar Donetsk
|
2
|
0
|
2
|
0
|
2
|
2
|
0
|
2
|
Athletic
Club
|
2
|
0
|
1
|
1
|
1
|
2
|
-1
|
1
|
No comments:
Post a Comment