HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Monday, 20 October 2014

MSIMAMO NA MWELEKEO WA LIGI KUU BARA BAADA YA MECHI ZA RAUNDI YA 4..!!


Kocha wa Azam Joseph Marius Omog


MATOKEO:
Jumapili Oktoba 19
Prisons 1 JKT Ruvu 2
+++++++++++++++++++
JKT Ruvu, wakicheza Ugenini huko Sokoine, Jijini Mbeya, wamepata ushindi wao wa kwanza kwenye Ligi Kuu Vodacom walipoichapa Prisons Bao 2-1.
JKT Ruvu walifunga Bao zao kupitia Najim Magulu na Jabir Aziz huku Amir Omar akiifungia Prisons.
Hadi Mapumziko Bao zilikuwa 1-1.
Ushindi huu wa hapo jana umewanasua JKT Ruvu toka mkiani na kupanda hadi Nafasi ya 11.
Ligi Kuu Vodacom itaendelea Jumamosi ijayo kwa Mechi 6 ambapo Vinara na Mabingwa Watetezi Azam FC watakuwa kwao Azam Complex huko Chamazi, Dar es Salaam kucheza na JKT Ruvu.
Vigogo Nchini, Yanga na Simba, wote watakuwa Ugenini kwa Yanga kuivaa Stand United huko Uwanja wa Kambarage, Shinyanga na Simbe kuwa Sokoine Jijini Mbeya kucheza na Prisons.
Habari ya Mjini kwa sasa ni Mayika Peter Jr.Mtoto wa Golikpa wa zamani wa Timu ya Taifa Peter Manyika alikuwa kivutio cha aina yake kwenye mchezo wa Watani wa Janii Simba na Yanaga uliopigwa siku ya Jumamosi Oct 18 na kumalizika kwa saeer ya 0-0
LIGI KUU VODACOM
RATIBA:
Jumamosi Oktoba 25
Stand United v Yanga [Kambarage, Shinyanga]
Ndanda FC v Mgambo JKT [Nangwanda, Mtwara]
Kagera Sugar v Coastal Union [Kaitaba, Bukoba]
Azam FC v JKT Ruvu [Azam Complex, Dar es Salaam]
Prisons v Simba [Sokoine, Mbeya]
Ruvi Shooting v Polisi Moro [Mabatini, Mlandizi]
Jumapili Oktoba 26
Mbeya City v Mtibwa Sugar [Sokoine, Mbeya]
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Azam FC
4
3
1
0
6
1
4
10
2
Mtibwa Sugar
4
3
1
0
6
1
5
10
3
Coastal Union
4
2
1
1
6
4
0
7
4
Yanga
4
2
1
1
4
4
0
7
5
Kagera Sugar
4
1
2
1
3
2
1
5
6
Mbeya City
4
1
2
1
1
0
1
5
7
Stand United
4
1
2
1
3
5
-2
5
8
Tanzania Prisons
4
1
1
2
4
4
0
4
9
Simba
4
0
4
0
4
4
0
4
10
Ruvu Shooting
4
1
1
2
3
5
-2
4
11
JKT Ruvu
4
1
1
2
3
5
-2
4
12
Ndanda FC
4
1
0
3
7
9
-2
3
13
Polisi Moro
4
1
2
1
3
5
-2
3
14
Mgambo JKT
4
1
0
3
1
4
-3
3

MATOKEO- Mechi zilizopita:
Jumapili Oktoba 19
Prisons 1 JKT Ruvu 2
Jumamosi Oktoba 18
Polisi Moro 0 Mtibwa Sugar 0
Ndanda FC 1 Ruvu Shooting 3
Kagera Sugar 0 Stand United 0
Coastal Union 2 Mgambo JKT 0
Mbeya City 0 Azam FC 1
Yanga 0 Simba 0

No comments:

Post a Comment