Msanii 'YP' toka kundi la TMK Wanaume Family (Kulia,mwenye T.Shirt
Nyekundu) akiwa na wasanii wengine wa kundi hilo
|
Msanii 'YP' toka
kundi la TMK Wanaume Family amefariki dunia jana usiku katika hospitali ya
Temeke ambako alikuwa akipatiwa matibabu akisumbiliwa na kifua kwa muda mrefu
lakini hali ilikuwa mbaya katika wiki mbili kabla ya kifo chake.
******R.I.P Jembe YP******
Msanii 'YP' toka kundi la TMK Wanaume Family (Katikati) akiwa na wasanii
wengine Nyota wa kundi hilo “Chege Chigunda” kushoto na MH Temba Kulia
|
YP akiwa na Pacha wake wa Siku nyingi Ya-Dash
|
**Uongozi wa Mtandao huu unatoa pole kwa
Familia ya YP rafiki yake wa Karibu Y-Dash na Kundi zima la TMK Wanaume family**
No comments:
Post a Comment