Mkuu wa Wilaya ya Tanga Bi Halima Dendego |
Na Godwin Henry TANGA
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Bi Halima Dendego
atawaongoza wanachama wa CHAMA cha waandishi wa Habari Wanawake Mkoani Hapa,
Tanga Women in Organization (TWMO) kesho katika zoezi la kuanya usafi katika
kituo cha afya Pongwe, tarafa ya Pongwe, kilichopo kwenye Halmashauri ya Jiji
la Tanga.
Kituo hicho
kilicho chini ya Mganga Mfawidhi, Dk. Faisal Ali, kinapokea mamia ya wagonjwa kwa
siku kutoka vijiji mbalimbali wakiwemo wajawazito na watoto.Miongoni mwa Waandishi hao wa Habari ni Watangazaji wa kituo cha Redio Huruma fm cha jijini Tanga Evelyn Balozi na Pameela Chaula ambao wameulezea mtandao huu kuwa zoezi hilo majira ya litaanza saa tatu asubuhi.
No comments:
Post a Comment