Muda Mfupi baada ya Ajali hiyo
|
Lori likiwa limeharibika Vibaya
|
Wasafiri wakiwa Eneo la tukio baada ya Ajali hiyo kutokea
|
Imeripotiwa kuwa Ajali mbaya imetokea leo katika Daraja la Wami ikihusisha Basi la Kampuni ya Simba Mtoto aina
ya YUTONG linalofanya safari zake kati
ya Dar na Tanga ambalo limegongana uso kwa uso na Roli katikati ya Daraja la Wami
ambapo dereva wa Roli amepoteza maisha papo hapo. Kwa taarifa zaidi zitafuata,
Endele kuutembelea Mtandao Huu.
No comments:
Post a Comment