HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Friday, 5 September 2014

BREAKING NEWSS...!! WATU 30 WAPOTEZA MAISHA BAADA YA MABASI MAWILI KUGONGANA MUSOMA.

Mabasi hayo yakiwa yamegongana

Mabasi hayo yakiwa yamegongana uso kwa uso. Basi moja ni la kampuni ya J4 Express likiwa na namba za usajili T677 CYC na jingine ni la kampuni ya Mwanza Coach likiwa na namba za usajili T376 AWJ. Ajali hiyo imetokea eneo la Sabasaba, mkoani Musoma.
TUNAOMBA RADHI KWA BAATHI YA PICHA HIZI


Umati wa Watu uliofika kushuhudia Ajali hiyo.
Miili ya Waliopoteza Maisha katika Ajali hiyo



Watu wa huduma ya kwanza nao hawakuwa nyuma.
Wanausalama wakiwa kazini katika eneo la Ajali.
Kijiko kikiwa katika jitihada za kulitoa gari dogo lililosukumwa na Mabasi hayo na kuzama Mtoni.
Mizigo ya Wahanga wa Ajali
Askari wakikagua miili ya watu wawili waliokuwa katika gari dogo

No comments:

Post a Comment