![]() |
| Dada Sophia Enzi za Uhai wake |
Mwimbaji
wa kwaya Mt.Aloisi Gonzaga( Viwawa Barabara Ya 20) amefariki usiku wa kuamkia
tarehe 6 katika hospitali ya Mkoa Bombo.
Mwimbajihuyo
alikuwa akiimba sauti ya pili katika kwaya hiyo amekutwa na mahuti baada ya
kuugua kwa muda mfupi, alifahamika kwa jina la Sophia John maalufu kwa jina Dada
Sophia.
Akiongea
na Kipindi cha Gospel Flavour kinachorushwa na Radio Huruma fm mratibu wa
vijana jimbo la Tanga Deo Kalyata amesema mzishi yatanyika j,mosi ijayo katika
makabuli ya CAC majila ya jioni.
Pia
KALYATA amesema vijana waige mfano kwa Dada Sophia kwani alijitoa kikamilifu
katika maisha yake yote kumtumikia mungu bila ya kujibakiza.

No comments:
Post a Comment