![]() |
|
Mkuu wa Wilaya ya
Handeni Mh Mhingo Rweyemamu(Picha na Maktaba)
|
Na Paul James.Tanga
Mwanafunzi wa shule ya msingi ya msisi
wilaya ya handeni mkoa wa Tanga amefariki dunia mara baada ya kugongwa na gari
aina ya BUZ TOYOTA yenye namba za usajili T408 iliyo kuwa ikiendeshwa na Salimu
Shuaibu mwenye umri wa miaka38 mkazi wa DSM.
Mwanafunzi
huyo amegongwa agost10 majira ya 11 za jioni ambapo gari hilo lilikuwa
likitokea dsm kuelekea mkalamo na ndipo lilipo fika katika eneo la kwa msisi
lili mjeruhi vibaya mtoto huyo na kusababisha kifo chake.
Kwamujibu wa kaimu kamanda wapolisi juma
ndaki amesema katika ajali hiyo
mwanafunzi hussen aligongwa katika miguu yake na ndipo walimkamata dereva aliye
husika kugonga.
Hatahivyo chanzo cha ajali hiyo akija
tambulika hivyo wanaendelea na uchunguzi na mwili wa marehemu umekabiziwa kwa
ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.

No comments:
Post a Comment