Tanga Costantine Massawe |
Na Paul James
Mfanya biashara mmoja aliye faha mika
kwa jina la SAMBAI SANGALE mwenyeumri wa miaka 37 mkazi wa kijiji cha Magodi
kwa Kombe wilaya ya mkinga mkoani Tanga amefariki dunia marabaada ya kuvamiwa
na watu watano wanaosidikiwa kuwa ni Majambazi ambao hawakufahamika wakiwa na silaha aina ya SHORTGUN.
Aidha kamanda masawe amesema baada ya
marehemu kupigwa risasi , watu hao
walipora vitu mbalimbali vya dukani
ambapo thamani yake haija juli kana mpaka sasa.
Sambamba na hayo amesema hakuna mtu
yeyo aliyeshukiwa na tukio hilo hivyo wanaendelea kuwasaka watuhuwiwa ili
kuwafikisha katika vyombo vya sheria.
No comments:
Post a Comment