Na Paul James Tanga
Mwendesha pikipiki mmoja aina ya BWS
SOUND Yenye namba za usajili T983 aliye
tambulika kwa jina la Abdul Rashidi mwenyeumri wa miaka 53 mkazi wa muheza
mkoani tanga amefariki dunia mara baada ya kugongwa na gari aina ya CDL BENZI
namba T949 iliyo kuwa ikiendeswa na
Aderaro Kawegere mwenye umri wa miaka 43.
Kamanda Massawe amesema ajali hiyo imetokea maeneo ya Kange karibu
na Kiwanda cha Pembe barabara kuu ya
Tanga muheza mnamo julai19 majira ya
saa9;30 mchana
Amesema chanzo cha ajali hiyo ni
mwendesha pikipiki huyo kulipita
gari la mbele sehemu isiyo ruhusiwa na ndipo ajali hiyo ikatokea hataivyo dereva
huyo aliye fonga amekamatwa na taratibu za kisheria zinaendelea zidi yake.
No comments:
Post a Comment