Vijana wakatoliki Tanzania walipotembelea kituo chakulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu kiitwacho
nyumba ya furaha kilichpo jijini Tanga, PICHA NA HAPARI SHUHUDIA HAPA...
Mwenyekiti wa MARTINE KESSI akikabidhi misaada mbalimba;iwaliyotoa kwa kituo hicho. |
Wakati wa picha ya pamoja(katikati mwenye shati jeupe na Bw Michael Chikoma ambaye alikuwa mwenyeji wa Vijana hao) |
Kama ilivyo kauli ya Vijana wa Kikatoliki isemayo"MAPENDO DAIMA" hapa vijana walionyesha Upendo wao kwa watoto |
Licha ya kuwepo kwa makundi ya watoto wasio jiweza jamii
imeombwa kuwasaidia kiwa ni pamoja na
kutembelea vituo vya kulelea ili kuwatia moyo watoto hao.
Hayo yamesemwa na
mwenyekiti wa Group ya Facebook ya vijana wa katoliki Tanzania MARTINE KESSI walipotembelea kituo chakulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu kiitwacho
nyumba ya furaha kilichpo jijini hapa
Mbali na kuwatembelea watoto hao
pia wametoa msaada wa chakula ,vinywaji,sabuni,sukaripamoja na vifaa vya
shule kama vilemadaftari na kalamu KESSI
amesema hii imekua ni kama utaratibu kwao kwan impaka sasa wameweza
kutembelea vituo takribani 6
nchini hapa
Na mmoja kati ya vijana hao MICHAEL CHIKOMA amesema amefurahishi kufika katika kituo hiki na amewaomba jamii kujiwekea utaratibu wa kutembelea na kutoa msaada kwani yapo mengi wanayo itaji vjana hao.
Sanjari na hayo watoto hao
wameiomba jamii kuwasaidia fedha
kwa ajili ya kuongeza majengo ,kulipia maji na umeme pamoja na mahitaji mengine ya msingi.
No comments:
Post a Comment