Hapa Wafanyakazi wakijaribu kuondoa matofali katika eneo la ajali |
Hili ni tukio ambalo limetokea mkoani tanga katika kiwanda cha Rhino cement hapo unapopaona kulikuwa na watu wakisuka nondo chini na huo ni ukuta umeanguka nikutokana tu kiwanda kutokuwa na usalama mzuri.
No comments:
Post a Comment