Kampuni ya katani Ltd ya mkoa wa Tanga imesema ipo kwnye hatua za mwisho za mazungumzo kuhusu kiwanda cha kuzalisha sukari kutokana na mkonge mahali kitakapojengwa pamoja na ukubwa wake.
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa maendeleo ya kampuni hiyo.
Juma Shamte, wakati akizungumza kwenye semina ya wazi iliyofanyika kwenye viwanja vya Tangamano ya jinsi wakulima wanavyonufaika na zao la mkonge katika maonyesho ya kibiashara ya kimataifa yanayoendelea kufanyika jijini Tanga.
Alisema kwa sasa wapokwenye mazungumzo yamwisho na kampuni itayojenga kiwanda hicho kwa ajili yakuanza uzalishaji wa bidhaa hiyo hapa nchini.
No comments:
Post a Comment