Real Madrid leo
wameendeleza wimbi lao la kutofungwa na kufikia Mechi 25 na pia kuungana na
Barcelona na Atlético Madrid kileleni mwa La Liga baada ya Jesé, Karim Benzema
na Luka Modric kufunga Mabao wakiwa Ugenini walipocheza na Getafe.
Jana, Barca, ambao
wanasaka Taji la Ubingwa la Tano katika Misimu 6, na Atletico Madrid zote
zilishinda Mechi zao.
Barca wapo kileleni,
wanafuatia Real na kisha Atletico, na hii ni kwa tofauti ya Magoli tu kwani
wote wana Pointi 60 kila mmoja lakini, ikiwa watafungana mwishoni mwa Msimu,
hiyo haimo na badala yake Bingwa atapatikana kwa kulinganisha Matokeo ya Uso
kwa Uso kati yao.
Real, ambao
hawajapoteza Mechi tangu wafungwe na Barca 2-1 huko Nou Camp Mwezi Oktoba, Leo
walicheza bila ya Mfungaji wao Bora Cristiano Ronaldo, ambae yuko Kifungoni
Mechi 3, walianza kufunga kwa Bao la Jese katika Dakika ya 6, kisha Dakika ya
27 Benzema akapiga Bao la Pili na Modric kupiga Bao la Tatu Dakika ya 66.
Hapo Jana, Barcelona
waliifumua Rayo Vallecano Bao 6-0 na Atletico Madrid waliichapa Real Valladolid
Bao 3-0.
RATIBA
[Saa za Bongo]
Ijumaa Februari 14
Elche CF 0 Osasuna 0
Jumamosi Februari 15
Atletico de Madrid 3
Real Valladolid 0
Levante 1 UD Almeria
0
FC Barcelona 6 Rayo
Vallecano 0
Villarreal CF 0 Celta
de Vigo 2
Jumapili Februari 16
Granada CF 1 Real
Betis 0
Getafe CF 0 Real
Madrid 3
2100 Athletic de
Bilbao v RCD Espanyol
2300 Sevilla FC v
Valencia
Jumatatu Februari 17
2400 Malaga CF v Real
Sociedad
MSIMAMO-Timu za Juu:
|
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
GD
|
PTS
|
|
1
|
FC Barcelona
|
24
|
19
|
3
|
2
|
69
|
17
|
52
|
60
|
|
2
|
Real Madrid CF
|
24
|
19
|
3
|
2
|
68
|
24
|
44
|
60
|
|
3
|
Atletico Madrid
|
24
|
19
|
3
|
2
|
59
|
16
|
43
|
60
|
|
4
|
Athletic Bilbao
|
23
|
13
|
5
|
5
|
42
|
28
|
14
|
44
|
|
5
|
Villarreal CF
|
24
|
12
|
4
|
8
|
44
|
29
|
15
|
40
|
|
6
|
Real Sociedad
|
23
|
10
|
7
|
6
|
42
|
34
|
8
|
37
|
|
7
|
Sevilla FC
|
23
|
8
|
7
|
8
|
42
|
41
|
1
|
31
|
|
8
|
Valencia
|
23
|
9
|
4
|
10
|
36
|
35
|
1
|
31
|
No comments:
Post a Comment