>> NI WAKATI WA VISASI BAADA YA CHELSEA KUPIGWA NA
MAN CITY LEO ILIKUWA ZAMU YA LIVERPOOL
>>MABINGWA WATETEZI WIGAN KUWAVAA CITY ROBO FAINALI!!
FA CUP
Raundi ya Tano
MATOKEO:
Jumapili Februari 16
Everton 3 Swansea 1
Sheffield United 3 Nottingham Forest
1
Arsenal 2 Liverpool 1
+++++++++++++++++++++++++++++

ARSENAL
2 LIVERPOOL 1
Alex
Oxlade-Chamberlain Leo alifunga Bao moja na kumtengenezea Lukas Podolski
kufunga Bao la Pili wakati Arsenal walipoichapa Liverpool Bao 2-1 Uwanjani
Emirates na kuwabwaga nje ya FA CUP na hivyo kulipa kisasi cha kutwangwa Bao
5-1 kwenye Mechi ya Ligi waliyocheza Anfield Wiki iliyopita.
Bao
la Kwanza la Arsenal lilifungwa Dakika ya 16 na Oxlade-Chamberlain na Podolski
kupiga Bao la Pili kwenye Dakika ya 47.
+++++++++++++++++++++++++++++
DROO YA ROBO FAINALI:
Mechi kuchezwa Wikiendi ya Jumamosi Machi 8
Manchester City v Wigan
Sheffield United v Sheffield Wednesday/Charlton
Brighton/Hull v Sunderland
Arsenal v Everton
+++++++++++++++++++++++++++++
Steven
Gerrard ndie aliewafungia Liverpool Bao lao pekee kwa Penati ya Dakika ya 59
iliyotolewa na Refa Howard Webb baada ya Lukas Podolski kumuangusha Luis Suarez
ndani ya Boksi.
Arsenal
sasa wametinga Robo Fainali na watacheza na Everton Uwanjani Emirates kwenye
Wikiendi inayoanza Machi 8.
VIKOSI:
Arsenal: Fabianski;
Jenkinson, Mertesacker, Koscileny, Monreal; Arteta, Flamini; Chamberlain, Ozil,
Podolski; Sanogo
Akiba:
Viviano, Sagna, Gibbs, Wilshere, Cazorla, Gnabry, Giroud.
Liverpool: Jones, Flanagan,
Skrtel, Agger, Cissokho, Gerrard, Allen, Coutinho, Suarez, Sterling, Sturridge.
Akiba:
Mignolet, Toure, Moses, Henderson, Kelly, Aspas, Teixeira.
Refa: Howard Webb.
FA CUP
Raundi ya Tano
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumatatu Februari 17
2245 Brighton v Hull
+++++++++++++++++++++++
THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14
TAREHE ZA RAUNDI:
-RAUNDI YA 6: Jumamosi Machi 8
-NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12
& Jumapili Aprili 13
-FAINALI: Jumamosi Mei 17
+++++++++++++++++++++++++++++
No comments:
Post a Comment