HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Wednesday, 19 February 2014

DONDOO ZA AFYA " FAHAMU VYANZO 10 VYA MATATIZO YA FIGO"






Mambo 10 unayoyafanya na kusababisha kuharibu figo lako mwilini;

1. Kubana mkojo kwa muda mrefu unapo banwa.
2. Kutokunwa maji ya kutosha.
3. Kula sana nyama.
4. Kutumia ovyo vidonge vya maumivu.
5. Kutopumzika vya kutosha.
6.Unakula chumvi sana kwenye chakula.
7.Hujitibu magonjwa ya kawaida kwa haraka nI vizuri
8.Huli chakula cha kutosha
9.Huli kwa wingi vayakula vya virutubisho
10.Unakunywa pombe kupita kiasi 
 

No comments:

Post a Comment