Ajali mbaya imetokea mda si mrefu eneo
kati ya wami na segera,ajali hiyo imesababishwa na gari aina ya Noah ambayo
ilikuwa inatokea Moshi mjini kuelekea Dar,Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi
wa gari hiyo na pia dereva alikuwa anasinsiza hali hiyo iliyopelekea kucha njia
na kuenda kuivaaa gari ya mizigo kwa mbele.Gari hiyo ya noah pia ilikuwa
imebeba watu kupita uwezo wake ambapo abiria zaidi ya kumi na mbili walikuwa
ndani ya gari hiyo.Mpaka chanzo chetu kinaondoka eneo la tukio hakuna
aliyepoteza maisha bali watu ni majeruhi walioumia vibaya sana.
HABARI NA PICHA KWA HISANI YA DJ SEK
BLOG
No comments:
Post a Comment