HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Tuesday, 3 December 2013

ZANZIBAR HEROES MGUU NJE CHALLENGE “LEO IMEPIGWA TENA”


Beki wa Kenya, Joackins Atudo akipitia mpira miguuni mwa kiungo wa Zanzibar, Sabri Ali Makame leo Uwanja wa Afrah, mjini Nakuru

KENYA, Harembee Stars imeungana na Ethiopia kutinga Robo Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya kuifunga Zanzibar mabao 2-0 Uwanja wa Afrah, Nakuru jioni ya leo.

Mabao ya Harambee leo yamefungwa na beki wa Azam FC ya Dar es Salaam, Joackins Atudo kwa penalti dakika ya sita na mshambuliaji wa AFC Leopards ya Kenya, Allan Wanga dakika ya 60.
Kwa ushindi huo, Kenya imetimiza pointi saba baada ya awali kuifunga Sudan Kusini 3-1 na kutoa sare ya bila kufungana na Ethiopia.
Zanzibar ambayo sasa inabaki na pointi zake tatu, itatazama mustakabali wake wa kwenda Robo Fainali katika nafasi mbili za best losers.
Rwanda ambayo haina pointi hadi sasa inaweza kuungana na timu moja ya kundi B pamoja na Zanzibar kuwania kufuzu katika nafasi za best losers, iwapo itaifunga Eritrea katika mchezo wake wa mwisho. 

Zambia, Tanzania Bara na Burundi timu mbili kati ya hizo zitafuzu moja kwa moja baada ya matokeo ya mechi za mwisho kesho na moja itaingia kwenye kapu la best losers.
Kundi C Uganda na Sudan tayari zimefuzu na Rwanda na Eritrea zitawania nafasi ya best losers. 
MSIMAMO:
KUNDI A

TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
KENYA
3
2
1
0
5
1
4
7
2
ETHIOPIA
3
2
1
0
5
1
4
7
3
ZANZIBAR
3
1
0
2
3
6
-3
3
4
SOUTH SUDAN
3
0
0
3
2
7
-5
0
KUNDI B

TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
KILI STARS
2
1
1
0
2
1
1
4
2
ZAMBIA
2
1
1
0
2
1
1
4
3
BURUNDI
2
1
0
1
2
1
1
3
4
SOMALIA
2
0
0
2
0
3
-3
0
KUNDI C

TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
SUDAN
2
2
0
0
4
0
4
6
2
UGANDA
2
2
0
0
4
0
4
6
3
RWANDA
2
0
0
2
0
2
-2
0
4
ERITREA
2
0
0
2
0
6
-6
0

RATIBA
Jumanne Desemba 3
13
South Sudan 0 Ethiopia 2
A
Machakos
1400

14
Kenya 2 Zanzibar 0
A
Machakos
1600
Jumatano Desemba 4
15
Kili Stars v Burundi
B
Nyayo
1400

16
Somalia v Zambia
B
Nyayo
1600
Alhamisi Desemba 5
17
Rwanda v Eritrea
C
Nyayo
1400

18
Uganda v Sudan
C
Nyayo
1600
Ijumaa Desemba 6

MAPUMZIKO





ROBO FAINALI



Jumamosi Desemba 7
19
C1 v B2

Mombasa
BADO

No comments:

Post a Comment