| Msafara wa Mapokezi Ukiingia Katika Dimba la CCM Mkwakwani kwa Magari na Pikipiki |
| M/Kiti wa Klabu hiyo Hemed Aurora akipokea Kombe la Uhaikutoka kwa Nahodha wa Klabu hiyo Nzara Ndaro |
|
Mkuu wa mkoa wa Tanga,Luteni mstaafu Chiku Gallawa
kushoto akipokea kombe la Uhai Cup toka kwa nahodha wa timu ya Coastal Union Nzara
ndaro mara baada ya kuwasili Mkoani hapa
|
|
Mkuu
wa mkoa wa Tanga,Luteni mstaafu Chiku gallawa akiwapungia mikono mashabiki wa
soka Mkoani Tanga waliofurika kuwapokea mabingwa wa kombe la uhai 2013 coastal
union ya Tanga.
|
No comments:
Post a Comment