



![]() |
| PICHA KWA HISANI YA MASAI YA NYOTAMBOFU.COM |
KATIKA AJALI HIYO ILIYOTOKEA SIKU YA JUMAMOSI DEC 21 WATU 6 WALIPOTEZA MAISHA AMBAO NI WANAUME WAWILI AKIWAMO DEREVA WA DALADALA HIYO WANAWAKE WATATU NA MTOTO MMOJA. WAJERUHI WALIKUWA 15.
MASHUHUDA WA AJALI HIYO WAMESEMA KUWA DEREVA WA DALADALA ALITAKA KULIPITA ROLI LILILOKUWA LIMEHARIBIKA KANDO YA BARABARA UMBALI WA MITA KANDAA KUTOKA ENEO LA MIZANI AMBAPO ALIJIKUTA AKILIGONGA ROLI HILO WAKATI AKIJARIBU KUKWEPA GARI LILILOKUWA MBELE YAKE AKIWA KWENYE MWENDO WA KASI.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA TANGA COSTANTIN MASSAWE AMETHIBITISHA KUTOKEA KWA AJALI HIYO.
*MMILIKI WA BLOG HII ANATOA POLE ZA DHATI KWA WALE WOTE WALIPOTEZA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KATIKA AJALI HIYO..!

No comments:
Post a Comment